Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

Ndo maana vijana wengi wanakufa kwa ukimwi kwa kujiingiza kichwa kichwa demu malaya kama huyo unaingia bila ndom
 
Huyu kijana atakua jamii ya fisi maji (nt...mbi) wao huwa hawajari chochote hata kama ni jiwe wanapiga tu.....
N.B habari kuhusu fisi maji ulize yoyote anaetoka pembezoni wa ziwa victoria
 
Huyu kijana atakua jamii ya fisi maji (nt...mbi) wao huwa hawajari chochote hata kama ni jiwe wanapiga tu.....
N.B habari kuhusu fisi maji ulize yoyote anaetoka pembezoni wa ziwa victoria

fafanua mkuu umeniaha,fisi maji ndio wapi?
 
hahaaaaaa watu wabaya kudadadeki zao.. so Iyobo ni panya road lol

Lakin kuna tetesi pia aunt sio mjinga ni mdada wa mjin ile mimba ni ya mali asili na utalii,safari ya marekani ilizaa matunda
ni tetesi za instag tu
 
Mmh Hilo changa la macho tu dogo katupiwa mpira na faranga kadhaa, Hilo tumbo ni la waziri wenu wa wanyama.. Safari ya US imejibu.... Kalagabhaho!!
Hapa kuna mtu mbili wzr ama dogo vyovyote iwavyo aliyefanya hili game kwa huyu basi ana uwezo wa kula supu ya nyoka, nampa hongera kwa ujasiri.
 
Kwa staili hii ukimwi utatumaliza Yani labu kavu kbs na uyo wanyama Jmn Mbona anamzalilisha mkewe.
 
Yote anayajua shangazi ezekiel mwenyewe kama ni panya road au mtu mwingine
 
Anajua yeye mwenyewe,ila kwa afya ya wambeya kama sisi tungependa kujua!ila nadhani inanoga ikiwa fumbo kama iviii...nasikia huko IG katoa picha zote za Iyobo kisa wamegombana etii Iyobo amechoka kuwa gelesha!!Ukweli anao mhishimiwa mramba vingi na mchovya koteee!
 
eish..........................mimba kaibeba aunt Ezekiel sasa sisi jamani inatusaidia nini mtafute aunt atakupa ukweli sie waonaji tu
 
Back
Top Bottom