Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Screenshot_2015-01-13-19-47-22-1.png


Mcheza show wa diamond naye karibu anaitwa baba
 
Huu mwaka ni mzuri sana kwa familia ya Diamond!
Huku Chibu Junior anakuja duniani October na Huku mcheza show junior anakuja duniani miezi michache ijayo!
 
halafu hao huwa hawapati ngoma kirahisi. Kila mtu anayekutana naye anavaa mpira mwishoni unakuta yuko salama.

Screenshot_2015-01-13-19-47-22-1.png
Na mbona ni mabingwa wa kutoa mimba au wanazipata kwa njia nyingine?
 
Mmh Hilo changa la macho tu dogo katupiwa mpira na faranga kadhaa, Hilo tumbo ni la waziri wenu wa wanyama.. Safari ya US imejibu.... Kalagabhaho!!

Waziri wa nyama?mmmmhh mbona mauza uza hvyo?
 
Back
Top Bottom