Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

Hizi picha zinatuchafua jamani je mode waweza kutoa hii thread! hapa mnachopendea ni nini sasa hayo mapaja meusi au....uchafu mtupu...mastaa wa bongo bana...hawajiheshim kabisa....
 
Kumbe ni mtoto wa Ezekiel Grayson Jujuman! Naona wanafanana kiasi fulani, hasa macho.
 
nimeyapenda mapashja yake duuuh:lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
ukiondoa tabia na whatevers huyu dada ni mzuri sana kwa nje tuache uongo
 
many people are so negative about this,coz wanataka africuture ikumbatiwe!angetupia vtu vya ktenge angenoga mara 100000000000!
 
Anaweza lakini au pozi tu, manake hizi mtu zingine ukiziangalia kwa nje saaf lakn upuuz mtu. Hamna kitu hapo.
 
angalia hiyo sura ,,,,uweke ustaa alioupata pembeni,avae vizuri sio hivyo anavyoonyesha visivyoonyeshwa.sio mzuri labda tuseme ni mrembo ,,,,kila mwanamke anavutia
 
Just one publicity stunt from a common local celebrity............
 
Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.
















mh mambo ya kujitakia hayo halafu uanze kuingia gharama za bure kufuata kikombe cha babu loliondo,akhu mi simo,ukiwa shimoni usichimbe shimo
 
wananiboa wanavyokaaga tu uchi otherwise she is so beautifully!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…