Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee


Hata mimi siwafagilii, mara nyingi wanatumiwa vibaya na wenye vijisenti kwa kuwa na background finyu.Wanakuwa wameingia kwenye game unproffessionally yaani kujikimu kimaisha na kutawaliwa na umasikini na ndio wanatumika hovyo hovyo.
 
Hana uzuri wowote, ni wa kawaida mno! Kinachompandisha chati ni sanaa aliyono, kupiga pamba, kujipodoa kupita kiasi na kukaa uchi. Eti wanasifia mapaja, mapaja gani hayo, meusiii! Kila mwanamke akianika mapaja yake hivyo mbona mtaona hayo cha mtoto. Kuanzia mapaja au miguu ni ya kawaida sanaa...
 
Je analipwa kiasi gani picha kama hizi zinapokwenda public?


Kwa nini alipwe wakati anatangaza biashara, huoni keshapata wateja Jamii Forum! Kwanza inabidi atulipe sisi tunaoharibu siku zetu kwa kuangalia uchi katika kwaresma hii!
 
Inaonekana alisoma na kuelewa vizuri ile topic ya HOW TO ATTARCT AND RETAIN CUSTOMERS katika commerce enzi zile akiwa shuleni
 
i too, i hate their life style behaviour including dressing i hate from the deep of my hati fyo
 


Kinyaa gani dude si useme huan game?kuwapata huwezi...hahahahaha


pole sana....
 
Upuuzi mtupu! Huenda wanatafuta mabwana kwa kupiga picha za hovyo! Hizo style ni kumuonesha bwana wake chumbani na si kupiga picha!
 
she is not that much mzurii,make ups zinamsaidia,wigs za nywele,Acwege wigs tu,tuone habari yake itakavyokuwa
 
Huyu ni mlupo wa kufa mtu. Ni kweli ameumbwa vizuri, lakini tabia zake ni chafu. Kila kijana mwenye hela au sifa hapa mjini au Tanzania kwa jumla amempitia. Kama kila mwanaume aliyempitia angekuwa anaweka tundu mwilini mwake, leo hii hangekuwa na tofauti na vile vyandarua vya ZINDUKA
 
ukiondoa tabia na whatevers huyu dada ni mzuri sana kwa nje tuache uongo

lazima utakuwa kaka yangu wa mwanza aka mshamba,but sku hz tumeelmka kaka wewe,ebu nambie dada huyu anauzul gani?
 
Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.











wewe dogo na yoyo kazi yenu ni kuiba picha za watu toka kule facebook na kuziweka hapa.
 
uzuri anajitahid lakini je na hicho kitu chake ni kizuri kama yy?isije ikaonekana sura tu ila machine mdebwedo
 
Hapa rahisi ukiwa na mai waifu wako jirani ukakuta unapigwa konzi maana kuacha kumwangalia si rahisi. Watu wengine wameumbwa kuleta vurugu duniani tu aaaaaggggggggggggggh!

Hakuna mwanamke mbaya ,Kila mwanamke akipata matunzo anacho cha kuvutia haijalishi umbo lake.Mtunze mkeo uone wangine watakavyomtazama kwa jicho la pembeni.
 
Mastaa wa Bongo hawa mademu mie nawaona kama madoli tu, hawanitamanishi. Ukweli wanatabia chafu sana kuazia nyumbani kwao mpaka mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…