Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 651
Mhhhh.......
Mimi msichana tanzania hii akiwa yupo kwenye muziki au
filam za kibongo au hata urembo huwa nakuwa sina hamu nae kabisa
mimi huwa na kinyaa sana.....
Wasichana kama hawa na hao wengine
wanaosifiwa na magazeti ya udaku
sjui irene uwoya au wema sepetu au johari au ray c...
Hata nipewe bure siwataki............
Hata mimi siwafagilii, mara nyingi wanatumiwa vibaya na wenye vijisenti kwa kuwa na background finyu.Wanakuwa wameingia kwenye game unproffessionally yaani kujikimu kimaisha na kutawaliwa na umasikini na ndio wanatumika hovyo hovyo.