ushauri wako umechelewa sana,huyo utamu hapo kwishney na hao mapedeshee wamepasiana mpaka wachezaji timu imekwisha,wanaoingia hapo sasa ni wakujawakuja hivi hapo town.
Demu used huyu machine imetumika mno, mileage kibao hafai kabisa kwa wajanja....not a wife material at all.
Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.
Anti kwa kiswahili, Antie kwa kidhungu kimanjonjo.. Kila nisikiapo jina lake au nionapo sura yake moyo hunienda mbio jamani. Sijui ndo kupenda huko?
Huyu dada mzuri ila ningependa kujua jina lake la ukweli ama ndo hilo la Aunt Ezekiel?