Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

ushauri wako umechelewa sana,huyo utamu hapo kwishney na hao mapedeshee wamepasiana mpaka wachezaji timu imekwisha,wanaoingia hapo sasa ni wakujawakuja hivi hapo town.

i1428_jacpmwanzo1.jpg


Demu used huyu machine imetumika mno, mileage kibao hafai kabisa kwa wajanja....not a wife material at all.
 
Huyu dada mzuri ila ningependa kujua jina lake la ukweli ama ndo hilo la Aunt Ezekiel?
 
haswa.......yeye ni Aunt baba yake ni Ezekiel......una jingine?
 
Mwite shangazi ezekiel utaeleweka tu maana ndo jina lake halisi au hujasikia mzee bin yusuf?
 
Hilo ndio jina,vipi kwani una mashaka nalo?au kwa kuwa hujawahi kulisikia kwa mwingine isipokuwa yeye tu?
 
Anti kwa kiswahili, Antie kwa kidhungu kimanjonjo.. Kila nisikiapo jina lake au nionapo sura yake moyo hunienda mbio jamani. Sijui ndo kupenda huko?
 
Anti kwa kiswahili, Antie kwa kidhungu kimanjonjo.. Kila nisikiapo jina lake au nionapo sura yake moyo hunienda mbio jamani. Sijui ndo kupenda huko?

...........itakuwa ndio hivyo lazima...
 
Plz jf mnachotakiwa ni kusifia uumbaji; usitamani kuyajua yaliomo chini ya chupi, kati ya mapaja, chini kidogo ya kitovu na juu kidogo ya magoti. Ukienda hapo tafadhali usitushirikishe katika maumivu yako hasa kutoka kwa celebrates wetu wa kibongo wanaouza sura tu kiooni. Wapo kibiashara zaidi; biashara ile kong'we kuliko zote duniani.
 
uzuri wa mwanamke heshima.ni mzuri ndio lkn picha hizi za kazi gani sasa!!kila mwanamke akionesha mali zake hivyo patakalika kweli?mie zinanichefua sio siri.
 
Back
Top Bottom