Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Inahuzunisha wanajali maneno yetu watu ambao hata hawatujui.Sasa utazuia waja kusema?
kwenye familia yenu hakuna wanaojifungua kwa operesheni ? Hawa nao beki hazikabi?Inahuzunisha sana,,hivi kwann wanawake wengi siku hizi especially wadada wa mjini wanajifunguwa kwa operation?
Hii ni fashion au sababu ya matumizi ya line 2
Kwa sasa hakuna,,ila zamani mwanamke akiandikiwa operation ni tatizo,kwenye familia yenu hakuna wanaojifungua kwa operesheni ? Hawa nao beki hazikabi?
Hapo sasa yani uumie na kuzaa umezaa kweli...waache waseme mbona watanyamaza tuuInahuzunisha wanajali maneno yetu watu ambao hata hawatujui.
HOngera kama hakunaKwa sasa hakuna,,ila zamani mwanamke akiandikiwa operation ni tatizo,
Ila hawa wa sasa anaomba kabisa afanyiwe operation..
Tatizo nn.?
Wanaogopa kupush eti maungo yao yatalegea mbona yanakaa vzr tuu muda mfupiKwa sasa hakuna,,ila zamani mwanamke akiandikiwa operation ni tatizo,
Ila hawa wa sasa anaomba kabisa afanyiwe operation..
Tatizo nn.?
Mwanamke anahonga pesa ili apigwe kisu,,HOngera kama hakuna
Basi tuseme zama zimebadilika madaktari hawaangaiki sana fasta tuu unapewa kisu
Ni njia salama zaid kwa mama na mtoto kuliko ku pushInahuzunisha sana,,hivi kwann wanawake wengi siku hizi especially wadada wa mjini wanajifunguwa kwa operation?
Hii ni fashion au sababu ya matumizi ya line 2?
Hii ni kichaka cha kujificha tu,,ila ukweli huenda ikawa ni. Matumizi ya line 2 kwenye harakati za kupewa iphone 18.Wanaogopa kupush eti maungo yao yatalegea mbona yanakaa vzr tuu muda mfupi
Ndy Mungu alivyoamrisha? Yaani kuzaa kwa uchungu ndy kwasasa iwe sio salama basi sawa..Ni njia salama zaid kwa mama na mtoto kuliko ku push
Hujakatazwa kupush, we endelea tuNdy Mungu alivyoamrisha? Yaani kuzaa kwa uchungu ndy kwasasa iwe sio salama basi sawa..
Shida line 2 au nn?Hujakatazwa kupush, we endelea tu