Aunty Ezekiel Amtaka Tunda Amlipe pesa zake za pombe

Aunty Ezekiel Amtaka Tunda Amlipe pesa zake za pombe

Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.

Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1] vyuma vimekaza!
 
Wala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.
Hebu tupe kwa uchache short history ya huyo Sabasita.
 
Hivi kinje anayeongelewa hapa ndiye kinje wa ngombale?
 
Diamond ananunuliwa hiyo pombe anayoitangaza its like anunuliwe diamond karanga kama zawadi

Huyu mange ni genius kila kitu anajua na mambo yake huko alipo yanaenda

Lakini sijawahi kusikia akijisema na yeye yeye na habari za watu ‍♂️
 
Eeh!! Makubwa , aunty Ezekiel ammwagia cheche Bosslady tunda kupitia ukurasa wake wa instagram akimtaka msanii huyo amlipe pesa zake za pombe ..

Tunda na show off zote insta kumbe anakopa mpaka pombe tena kwa aunty ezekiel khaa Kweli mjin pagumu

View attachment 688017

Tunda amejibu madai hayo kwa kusema pesa alimpa Mose Iyobo

Tunda kiboko katrend balaaaa
 
Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.

Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
Huu msaada ulikua free mkuu au ulisuuza
 
Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.

Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
lusungo acha kutafuta kiki humu kama watu wa insta hii JF hatuna habari hizo za kujisifia ujinga ulimlipia wewe baba yake
 
Mwanamke anapomtukana mwanamke mwenzie k.uma ndio unajua kabisa wanawake wenyewe hawathamini kiungo chao muhim.

Kwamba k.uma ni kitu cha hovyo sana? Unakuta mwanamke akitaka kumkashfu mwanaume anamwambia ana mambo ya kike, maana yake ana mambo ya hovyo hovyo. Wanawake wenyewe hawajikubali na wanajiona kua ni watu wa hovyo.

Hatari sana.
Thanks....copied some where!
 
Back
Top Bottom