Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1] vyuma vimekaza!Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.
Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!