Aunty Ezekiel: Eeh Mungu nisidie nijifungue salama

Aunty Ezekiel: Eeh Mungu nisidie nijifungue salama

Ndo wanavofikiria kuchuna kutapungua ndo mana Zari anaheshimika pamoja na watoto bado mzuri hata kina Uwoya akina pangu kauka tia mchuzi hawana ubavu.

Hahahahaa ile ndio raha ya kua na ngozi ya mtume ya asili bwana.
 
Ye waswas umemjaa tu af nlidhan keshazaaga na mabetto nae keshajifungua mimba aliificha hatare

Azae wapi ana kazi ya kuutembeza mtumbo tu na kuuonesha kila kukicha? Wenzie hua wanaonesha picha za mimba baada ya kujifungua yeye sijui anamrusha roho faraja?
 
Jack pemba eti alimpiga mpaka mimba ikatoka, alipat miscarriage, mi nais itakuwa induced abortion tu, maana alivyokuwa akiongea na alivyo usoni unajua kabisa uongo, haonyeshi ata kuumia mxiuuu

Mimi nilichomsikitia ni kile kitendo cha kurudiwa home na ndomu tu aisee.Inauma sana kama mwanamke.
 
Irene mzuri nyie nilimuona jana mhh hatar ila kapungua tu

Ataacha kupungua na hivi hana kick tena mjini hapa! Lakini si nasikia danga lake ni rafiki yake marehemu seki wa lulu? Atakua hayuko vibaya basi.
 
Azae wapi ana kazi ya kuutembeza mtumbo tu na kuuonesha kila kukicha? Wenzie hua wanaonesha picha za mimba baada ya kujifungua yeye sijui anamrusha roho faraja?

Hahahahahahaha
 
Kaolewa lkn mimba anayojitangaza nayo uck na mchana kapewa na dogo
 
Ataacha kupungua na hivi hana kick tena mjini hapa! Lakini si nasikia danga lake ni rafiki yake marehemu seki wa lulu? Atakua hayuko vibaya basi.

We mtu umeolewa then unazaa nje ya ndoa usiombewe vibaya mchezo mxiuuu
 
We mtu umeolewa then unazaa nje ya ndoa usiombewe vibaya mchezo mxiuuu

Binam umeona white sensation ya ommy dimpo tare 2 yaan wanajua kuiga tang inanze white bas kla ktu white hahahaha
 
Hakuna kipindi mwanamke unapata hofu kama mimba ikifika ukingoni!!hali anayoihisi ni kawaida kwa mjazito hasa kama hajawai kuzaa.

Mungu amsaidie ajifungue salama maana sio shughuli ndogo
 
Jack pemba eti alimpiga mpaka mimba ikatoka, alipat miscarriage, mi nais itakuwa induced abortion tu, maana alivyokuwa akiongea na alivyo usoni unajua kabisa uongo, haonyeshi ata kuumia mxiuuu

1. Mbaya kuishi kwa hisia 2. Ulitaka alie umrushie leso? Acha hizo.
 
Ana jitia wasiwasi mwenyewe asemwe Kwa lipi?..
 
1. Mbaya kuishi kwa hisia 2. Ulitaka alie umrushie leso? Acha hizo.

USiongee upuuzi wewe hakuna kitu kinachouma kama kupoteza mtoto then kwa ajili ya kipigo, sisi wanasaikolojia wambea tunaelewa mbuzi wewe
 
Wataiga mpka jinsi ya kunya

Hahahahaahah mi mama ubaya ananichekesh na part yake ya mwanz bora angekunywa pirition akalala kulko kujishaua mara mwanz mara na ndoa yake isiyoeleweka
 
USiongee upuuzi wewe hakuna kitu kinachouma kama kupoteza mtoto then kwa ajili ya kipigo, sisi wanasaikolojia wambea tunaelewa mbuzi wewe

Wenye akili wanajua kuwa hata baada ya matatizo life goes on. We unataka mwenzako asononeke tuuuu miaka yote, tena luningani. Na tuliopoteza wapendwa tunajua uchungu wake bila hata mtu kutoa chozi. We vipi.
 
Hongera zenu kwa kupata mtoto .

tarehe zimekaa vizuri ukianzia sept 2014 ndio around sasa kujifungua. Nilisoma jana mahongera yalianza.

Mungu awabariki
 
Umeona eeh?Eti watu wanamsengenya! Utadhani yeye ndio wa kwanza kubeba mimba,hashuo tu.

Ila mtu akikwambia "ufe wewe na mwanao anaezaliwa"" ni ngumu kumeza jamani ukizingatia wamama wenye mimba wanakufa kila siku wakijifungua. Ningepata hofu pia. Thats how bad watu walimu wish.
 
Back
Top Bottom