Mmewe kafungwa kisa mambo yetu yalee ya sembe, anasubiria hukuma nasikia waarabu hawana huruma kesi ya sembe wakikupa hukumu ya miaka 25 jela ushukuru. Alafu wanaua kiaina. Wanawesa kukuwekea sumu ikakuua taratibu hata miaka 3 wakakurudisha kwenu ufe taratibuasitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor
Mmh mwenzangu network nayo inakat bas inanirusha stimu ***** ila kitaeleweka tu uko
Mmewe kafungwa kisa mambo yetu yalee ya sembe, anasubiria hukuma nasikia waarabu hawana huruma kesi ya sembe wakikupa hukumu ya miaka 25 jela ushukuru. Alafu wanaua kiaina. Wanawesa kukuwekea sumu ikakuua taratibu hata miaka 3 wakakurudisha kwenu ufe taratibu
Mumewe angekuwepo bongo unadhan angefanya haya? Inasemekana kasomekwa lupango sema habar hazina uhakika
Aunty anamuharibu sana wema. ..time will tell
Mumewe yuko ndani kafungwa abudhabi habari hizi ni za uhakika ila hajahukumiwa anasota kwa habari ilee ya unga wa ngano
Apa masikio yamenisimama kama dish la dstv mmh afunguke bhana
Duuh anamuharibuje? Kuna vitu nahisi unavifahamu kuhusu hawa watu wawili
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nyeupe mpwa!aunty ndo pusher wa wema!ule ukaribu ni wa ngada!.....kuhusu wema na yule jamaa mwenye viguu vyembamba rommy jones siku si nyingi magari yatawaka!powder haidanganyi
nyeupe mpwa!aunty ndo pusher wa wema!ule ukaribu ni wa ngada!.....kuhusu wema na yule jamaa mwenye viguu vyembamba rommy jones siku si nyingi magari yatawaka!powder haidanganyi
Ndo nasoma binamu ,maana angeongea warumi wangesema mi mchawi, aya ngoja tuone movie inavyoendeleaDaah sikuwahi kuhisi hivyo jamani. Binamu pita hapa Gossipcopwarumi