Aunty Ezekiel: Mimi sina gundu

Aunty Ezekiel: Mimi sina gundu

asitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor
Mmewe kafungwa kisa mambo yetu yalee ya sembe, anasubiria hukuma nasikia waarabu hawana huruma kesi ya sembe wakikupa hukumu ya miaka 25 jela ushukuru. Alafu wanaua kiaina. Wanawesa kukuwekea sumu ikakuua taratibu hata miaka 3 wakakurudisha kwenu ufe taratibu
 
Kumbeee!!! Yani huyu cheusi dawa kweli ana gundu, mumewe yupo china yeye anajibinua ovyo kwenye vigodoro hana habar mmh
 
attachment.php
 
heeee!!! sijawahi kuingia hili jukwaa...kumbe ndio kulivyo 😵 kwaherini...
 
Mumewe angekuwepo bongo unadhan angefanya haya? Inasemekana kasomekwa lupango sema habar hazina uhakika

Mumewe yuko ndani kafungwa abudhabi habari hizi ni za uhakika ila hajahukumiwa anasota kwa habari ilee ya unga wa ngano
 
Maskini aunty dah, ila lenyewe halina hata stress sijui ndo kaolewa na mama ubaya, yaan anajiachia mwenyew kumbe mumew yupo ndani si aseme watu wamuoe maisha yaendelee
 
Duuh anamuharibuje? Kuna vitu nahisi unavifahamu kuhusu hawa watu wawili

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Apa masikio yamenisimama kama dish la dstv mmh afunguke bhana
 
Duuh anamuharibuje? Kuna vitu nahisi unavifahamu kuhusu hawa watu wawili

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nyeupe mpwa!aunty ndo pusher wa wema!ule ukaribu ni wa ngada!.....kuhusu wema na yule jamaa mwenye viguu vyembamba rommy jones siku si nyingi magari yatawaka!powder haidanganyi
 
Daah sikuwahi kuhisi hivyo jamani. Binamu pita hapa Gossipcopwarumi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
nyeupe mpwa!aunty ndo pusher wa wema!ule ukaribu ni wa ngada!.....kuhusu wema na yule jamaa mwenye viguu vyembamba rommy jones siku si nyingi magari yatawaka!powder haidanganyi

Ngada ndo mwisho wao kwa hao mamburula.Haitwi mtu ikulu,matibabu watasaidiwa na ndugu zao.
 
Back
Top Bottom