Mmewe kafungwa kisa mambo yetu yalee ya sembe, anasubiria hukuma nasikia waarabu hawana huruma kesi ya sembe wakikupa hukumu ya miaka 25 jela ushukuru. Alafu wanaua kiaina. Wanawesa kukuwekea sumu ikakuua taratibu hata miaka 3 wakakurudisha kwenu ufe taratibuasitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor