comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kisha mkipata hizo picha mnafanya nini, mbona watekaji wanajulikana , badala ya kumsaidia wewe unataka ajihatarishe zaidi.Aweke picha ya hao watu awapige picha akiwa dirishani au getini tuone.
Point hiiKisha mkipata hizo picha mnafanya nini, mbona watekaji wanajulikana , badala ya kumsaidia wewe unataka ajihatarishe zaidi.
Sipo hapa kukataa yanayomfika ila nakataa kick za Kitoto anapost miguu yake sio hao watekaji ili iweje?. Tuone rangi za kucha zake?.Kisha mkipata hizo picha mnafanya nini, mbona watekaji wanajulikana , badala ya kumsaidia wewe unataka ajihatarishe zaidi.
Hiyo ni miguu yake??Sipo hapa kukataa yanayomfika ila nakataa kick za Kitoto anapost miguu yake sio hao watekaji ili iweje?. Tuone rangi za kucha zake?.
Mbona kama ni paranoia tu?Hatari
Kivipi mkuu? Ni nani huyu?Huyu mama unavyomuona tofauti na roho yake.
Nadhani huyu ni yule mdada alimuokoa jamaa alikuwa anapigwa na polisi....Kivipi mkuu? Ni nani huyu?
Mama Samia ana sura ya upole.ila Kwa ndani ni katili sana.Kivipi mkuu? Ni nani huyu?
Alikuwa ana nafasi nzuri sana ya kustaafu kwa heshima, ila ameiharibuMama Samia ana sura ya upole.ila Kwa ndani ni katili sana.
Ni muoga kama mtangulizi wakeAlikuwa ana nafasi nzuri sana ya kustaafu kwa heshima, ila ameiharibu