Aunty LuLu: Kuna watu wapo nje ya nyumba yetu wanataka kuvunja mlango

Aunty LuLu: Kuna watu wapo nje ya nyumba yetu wanataka kuvunja mlango

Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇
View attachment 3490172

Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
View attachment 3490173
Watu wako nje ya mlango wetu wanataka kuvunja mlango. Kama kaona watu nje labda na Camera nakisia tu kajuaje nia yao wanataka kuvunja mlango? huyu wa kuvunjiwa mlango wakimtaka si wanakuja kumbeba tu mchana kweupe. acheni kutafuta kiki za kijinga...
 
Jana kwenye mida ya saa7 aliingia live sikumzingatia...

kwa hali ya sasa inapaswa tuzingatie sana mtu anapoingia live usiku wa manane!
Nashangaa sana watu wanavyombeza Aunty Lulu eti anatafuta kiki...

Hawajui kwamba wanavyobeza hili tukio hapa ni advantage kubwa sana kwa hao watekaji, maana wataona kumbe wabongo hawaamini kwa 100% haya matukio yapo...

...na pia wataona zile propaganda za polisi za kwamba watu wanajiteka zinafanya kazi, na hivyo basi wataendelea kuendesha operation zao za kishetani.

Watanzania ni watu wa kipekee sana kwenye ulimwengu wa ujinga.. watu wana masihara sana na uhai wa watu.
 
Kwamba mtu anaona hatari, so anatengeneza post ya namna hiyo ili kutuonyesha yupo kwenye hatari?

Kwamba picha ya miguu na maneno kuwa hayupo salama? Serious?
 
Back
Top Bottom