comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #41
Na njaa hizi??Kwa wale wanaharakati Tanzania, tujifunze kwa wenzetu, tuwe na safe house uliyoweka security features za kutosha.
Na njaa hizi??Kwa wale wanaharakati Tanzania, tujifunze kwa wenzetu, tuwe na safe house uliyoweka security features za kutosha.
Hao wanaoteka ni wana usalama wazoefu hizi cctv wanaziharibu kwanzaUjinga mtupu
Kama kweli polepole kweli alitekwa basi huu ujinga wa kutojilinda ha ta ushahidi wa picha au cctv ndio I unatufanya tuone ni maigizo
Anaposti tumiguu kama biashara ya ukahaba huku anavamiwa?