Aunty LuLu: Kuna watu wapo nje ya nyumba yetu wanataka kuvunja mlango

Ujinga mtupu
Kama kweli polepole kweli alitekwa basi huu ujinga wa kutojilinda ha ta ushahidi wa picha au cctv ndio I unatufanya tuone ni maigizo
Anaposti tumiguu kama biashara ya ukahaba huku anavamiwa?
Hao wanaoteka ni wana usalama wazoefu hizi cctv wanaziharibu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…