AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Za siku mkuu??nimwaka wa tatu sasa tangia uniahidi kuniunga kwa grops zako na pia mazoezi nimefanya sana
Hakuna Tabu Anza Na Hili Zoezi Kwanza Hii Ndio Karibu Beginners..

rakims
 
Naendelea kujifunza jf zaidi ya shule!
 
Doo aura yangu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Rakim Heshima kwako!

Nimekua nikisoma mada zako mbali mbali japo Sijawahi kujaribu kwa Vitendo Yale unayofundisha.... Leo nikakutana na huu Uzi wako wa Siku nyingi Nikasema ngoja nijaribu kuifanyia kazi coz mimi ni mtu nnayejifunza kila kitu!

Nilianza na kifuniko CHEKUNDU nikaona kimeleta Rangi ya KIJANI.
NJANO - BLUE
BLUE - ORANGE
NYEUSI - NJANO FLANI MPAUKO AU SILVER HIVI SINA UHAKIKA SANA.

Then nikaja kusoma AURA yangu, ilichukua muda then ikaja kusoma WHITE PURE inang'aa mpaka inaumiza macho Hivi...

Kwenye Uzi wako ulisema Darasa litalofuata ni namna ya kujua AURA ya mtu au Watu.... Ulishazungumzia?

Kwa mtu kujua AURA yake anaitumiaje? Inatumikaje?
 
Mbona wewe aura yako ni nyeusi naiona hapa??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DUH SOMO ZURI
 
Aura ni nguvu inayozunguka kiumbe hai na kisicho hai ikiwa utaweka picha utaona tu rangi moja ambayo haina kubadlika ya kiumbe hai hubadilika kulingana na hali ya mwili akili na roho
Mkuu Rakim naweza kuweka picha ya mtu ya karatasi au ya kwenye simu mbele yangu nikaitumia kusoma aura yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezipenda sana mada zako Ndugu.Ubarikiwe sana.
Samahani pia naomba kuuliza.Jee? Mtu anaweza kuwa na AURA ZAIDI ya moja au mbili?ASAnte sana Ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…