AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Rakim unatoa masomo mengi ya ukweli lakini nashidwa ku practise but this one nitajitahidi kufuatilia shusha nondo
 
Mtu anaweza kuwa na Aura zaidi ya mbili?
 
Niliwahi kusoma haya mambo kidogo kuna Padre mmoja alinifundisha alikuwa anahitwa Rev.Dr.Aidan Msafiri alikuwa ni mhadhiri Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino (SAUT), nilisahau baadhi ya vitu leo umenikumbusha kidogo.
 
Karibu Tujadili Na Kufundisha Wengine Pia..

Rakims
 
mimi nina AURA ya rangi ya hewa a.k.a invisible aura!!!niko peke yangu dunia nzima
 
yaani umequote thread yote kuandika kisentensi kimoja una matatizo ya akili wewe
Nimekukumbuka wewe ni mmoja wa mwenye mafaili milembe hospital.pita hivi[emoji117]
 
Sio mahala pa haya maelezo yako! Utasababisha thread ikose mwelekeo
 
MKUU HAPO KWENYE AURA YA KWANZA NI KAMA ULIKUA UNANIONGELEA MIMI AISEEEE!.TAFADHALI USICHOKE KUTUPA SOMO MKUUU.
Naam Nimeongeza Nondo Hapo Jinsi ya kuanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…