Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #41
Hapana Aura Yako Ni moja mkuu sema unaigizia nyingine hapo sio yako na ya kukuongoza ni moja tu,Nimesoma kwa makini sana ila naona maelezo yanaonyesha mimi nimechanganya aura zaidi ya 2[emoji26]
tunarudi pale pale mtu anakua anapenda kula halafu anapendeshwa kuoga vitu viwili tofauti...
naaanisha ulivyojilea umejiweka kwenye aura mbili lakini yako ni moja na utaijua kwa kufungua kichwa zaidi
Rakims