Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

Mkuu binadamu ni kama nyoka

Kuhusu uzi mimi ni member mtiifu wa uzi wa JF usiku wa manane
 
Ondoa neno labda, hupaswi kutilia shaka upendo wa mama ( wazazi) haupimiki.
Labda kwa mama ipo haiwezi kuondoka kwani wapi wengi tu walionyonga vichanga baada tu yakujifungua, tukiacha wanaowatupa na kuwatesa waliowazaa.
 
Mungu amusaidie ili afya yake irejee.

Hapa duniani usiwatumaini sana wanadamu maana wao hawatabiriki hubadilika kila saa.

Rai yangu naitoa kwa watu maarufu waishi na familia zao vizuri....waheshimu ndoa zao...

Just imagine kisa wewevni maarufu unaanza dhalilisha mzazi mwenzio kwa kutoka na wanawake wengine na kumsema kwa maneno mabaya hivi unatwgemea huyo mtu atakuuguza ukiwa umefulia na u mgonjwa? Kusema hivyo sijamaanisha huyu jamaa alikuwa hivyo.

ASANTE
 
Mwenye Upendo wa kweli ni mama mzazi tu wengine wanaweza kukukimbia,
 
Ni Mungu pekee,kwani wapo wazazi walio telekeza watoto au kuwaloga na n.k
 
Ni Mungu pekee ,ni Mara ngapi umesikia mama au Baba ameitelekeza familia ? Wengine hulga hata watoto wao.
Ondoa neno labda, hupaswi kutilia shaka upendo wa mama ( wazazi) haupimiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…