Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

Mwenye Upendo wa kweli ni Mungu tu,labda na wazazi wangu na hao ndo wanaonitakia mema walionizaa sasa hadi mtu wa karibu kama mke anakukimbia duuh bora nizidi kumwamini Mungu wanadamu ni hatari sana hawaeleweke mda,wowote anakiamsha tu

Afu upo vizuri Kaka usiku wote huu ushaandika uzi
Mkuu binadamu ni kama nyoka

Kuhusu uzi mimi ni member mtiifu wa uzi wa JF usiku wa manane
 
Ondoa neno labda, hupaswi kutilia shaka upendo wa mama ( wazazi) haupimiki.
Labda kwa mama ipo haiwezi kuondoka kwani wapi wengi tu walionyonga vichanga baada tu yakujifungua, tukiacha wanaowatupa na kuwatesa waliowazaa.
 
Aurlus Mabele ni mwanamuziki kutokea congo kinshasa alikua maarufu sana katika band miaka ya 90
Inadaiwa amekimbiwa na mkewe aitwaye Liza ambaye alizaa nae
Nguli huyu wa muziki wa sokous anasumbuliwa na maradhi toka mapema mwezi huu taarifa zilivoanza kusambaa mitandaoni
Katika maojiano aliyayafanya huku akiwa na hali mbaya alidai mkewe alimkimbia mara tu baada ya kumpeleka hospitali
Pia kama ilivokawaida ya wasanii wetu wa Africa gwiji hiyu inasemekana hakua na pesa za matibabu mpaka pale serikali ya kabila ilipoamua kumlipia bill za hospitali

"Because of my serious health problem, "The mother of my child left me as soon as she took me one night in the hospital"
He said with an indescribable something mischievous in his voice while in his hospital bed.

View attachment 895203
Mungu amusaidie ili afya yake irejee.

Hapa duniani usiwatumaini sana wanadamu maana wao hawatabiriki hubadilika kila saa.

Rai yangu naitoa kwa watu maarufu waishi na familia zao vizuri....waheshimu ndoa zao...

Just imagine kisa wewevni maarufu unaanza dhalilisha mzazi mwenzio kwa kutoka na wanawake wengine na kumsema kwa maneno mabaya hivi unatwgemea huyo mtu atakuuguza ukiwa umefulia na u mgonjwa? Kusema hivyo sijamaanisha huyu jamaa alikuwa hivyo.

ASANTE
 
Mwenye Upendo wa kweli ni mama mzazi tu wengine wanaweza kukukimbia,
Mwenye Upendo wa kweli ni Mungu tu,labda na wazazi wangu na hao ndo wanaonitakia mema walionizaa sasa hadi mtu wa karibu kama mke anakukimbia duuh bora nizidi kumwamini Mungu wanadamu ni hatari sana hawaeleweke mda,wowote anakiamsha tu

Afu upo vizuri Kaka usiku wote huu ushaandika uzi
 
Ni Mungu pekee,kwani wapo wazazi walio telekeza watoto au kuwaloga na n.k
Mwenye Upendo wa kweli ni Mungu tu,labda na wazazi wangu na hao ndo wanaonitakia mema walionizaa sasa hadi mtu wa karibu kama mke anakukimbia duuh bora nizidi kumwamini Mungu wanadamu ni hatari sana hawaeleweke mda,wowote anakiamsha tu

Afu upo vizuri Kaka usiku wote huu ushaandika uzi
 
Ni Mungu pekee ,ni Mara ngapi umesikia mama au Baba ameitelekeza familia ? Wengine hulga hata watoto wao.
Ondoa neno labda, hupaswi kutilia shaka upendo wa mama ( wazazi) haupimiki.
 
Back
Top Bottom