Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

Never ever trust a woman, I repeat loudly "NEVER EVER TRUST A WOMAN"!
 
Haya mambo kumbe si ya Mwananyamala tu , yameishafika mpaka Congo !
 
Mkuu binadamu ni kama nyoka

Kuhusu uzi mimi ni member mtiifu wa uzi wa JF usiku wa manane
Wanakwambia binadamu ni mtulivu akiwa amelala usingizi akishaamka hatabiriki
Bora simba unamjua kuwa huyu ni mkali unamuepuka mapema ukisha muona kwa mbali. Sasa binadamu hajulikani kwahiyo asiyejulikana ni hatari zaid kwa sababu hajulikanii kuwa ni Mwema kwako au sio Mwema siku vikiamka ndo utaelewa.Hata Mke Wangu nitamuamini kwa asilimia sio nyingi au sio chache sana

Kama walimtesa Yesu,mti mmbichi wakaacha mti mkavu kwa sisi WaKristo tunavyoamini.Je mimi itakuwaje kiumbe wa kawaida tuu kwa sasa na wale wanaooa au kutaka kuolewa mapema usishangae unaishi na boko alamu au Is au alkaida ndani Mwako kuna umuhimu wa kumwomba Mungu akupatie mtu sahihi ila sio kila binadamu ni mbaya wapo watu wazuri wa Mungu kutoka Dini zote na Makabila pia
 
Ukifwafwansika unapaswa urudi Mibikimitaali au Malengamatitu "ugikaliege kwenye chevuli na kina ango na andi zetu"Eee...maana hamna namna mwagito!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…