The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
πππππ sitaki kuelewa nilikuwa nae bampa tu bampa,mara pa karusha na mimi nikamjibu chap kwa harakaNa wewe ukamjibu muda huo huo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππ sitaki kuelewa nilikuwa nae bampa tu bampa,mara pa karusha na mimi nikamjibu chap kwa harakaNa wewe ukamjibu muda huo huo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
jamani ukishafirisika kwa Africa ni bora ujifie tu .Never ever trust a woman, I repeat loudly "NEVER EVER TRUST A WOMAN"!
Hasa ukiwa na mke ambae ni money oriented!jamani ukishafirisika kwa Africa ni bora ujifie tu .
Wanakwambia binadamu ni mtulivu akiwa amelala usingizi akishaamka hatabirikiMkuu binadamu ni kama nyoka
Kuhusu uzi mimi ni member mtiifu wa uzi wa JF usiku wa manane
Insikitisha sana, POA TU LAKINI[emoji24][emoji24]Hasa ukiwa na mke ambae ni money oriented!
Haswaaaa,No one like MamaMwenye Upendo wa kweli ni mama mzazi tu wengine wanaweza kukukimbia,
Umenena ,Kaka ila Naomba uweke asilimia ndogo sana tena sana japo kwa,Mama.wa Mama japo wanaofanya uovu ni wa Mama wachache Kaka yanguNi Mungu pekee,kwani wapo wazazi walio telekeza watoto au kuwaloga na n.k
Umenena ,Kaka ila Naomba uweke asilimia ndogo sana tena sana japo kwa,Mama.wa Mama japo wanaofanya uovu ni wa Mama wachache Kaka yangu
Ukifwafwansika unapaswa urudi Mibikimitaali au Malengamatitu "ugikaliege kwenye chevuli na kina ango na andi zetu"Eee...maana hamna namna mwagito!ππππππInategemeana ulimpata katika mazingira gani mpaka huyo mke akukimbie, Kama ulimpata ukiwa na hela na sasa umefwafwanzika kukimbiwa na huyo mke sio jambo la kushangaza.
Kuna jamaa alizamiaga kwa bimdogo akasahau family baada ya kufirisika na kuugua akarudi kwa kupiga goti kwa mke wake wa kwanza naye akampokea name kumuuguza mpaka kupona.
Bado kuna wanawake wanaupendo Sana.
wanaume itakuwa tembo kabisa!Wanawake kiboko...
ππππUkifwafwansika unapaswa urudi Mibikimitaali au Malengamatitu "ugikaliege kwenye chevuli na kina ango na andi zetu"Eee...maana hamna namna mwagito!ππππππ
huyo chibu na yeye ni msafi??Sana mkuu
Mimi pia,,basi tu yani..Kuna wa mama hawana hekima..Mama kweli wanaupendo ila bwana kutupa vichanga na utowaji mimba nakua na kigugumizi,Nimeonja ukatili wa Mama
Ewaaa...usisahau na mapilipiliπππππππππππ
Usapulage madulu na mkalifya