Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

nilidhani mabele ni mkongo brazaville
ni kweli kabisa Auruls Mabele ni mzaliwa wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazaville) na sio Zaire (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) ila Diblo Dibala ni mzaliwa wa Kisangani Zaire na alipokuwa Brussel akamchukua Mabele km muimbaji wa Bendi yake ya Loketo
Aurlus Mabele - Wikipedia, kamusi elezo huru
Bado nyumbani kwao Auruls Mabele ana mke na watoto
 
Hatuwezi juwa yeye alikimbia wangapi usikute huyu alimpata kipindi cha mafanikio slay queen as unamuona hapo kama shombe hivi shombe na shida wapi na wapi sababu wenyewe wanaoana wenyewe kwa wenyewe
 
Embu tujikumbushe kidogo
 
Hatuwezi juwa yeye alikimbia wangapi usikute huyu alimpata kipindi cha mafanikio slay queen as unamuona hapo kama shombe hivi shombe na shida wapi na wapi sababu wenyewe wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Namfananisha na video queen wake mmoja sijui ndio yeye
Kuna nyimbo jamaa ana mke na mtoto mdogo ila akawa anachepuka na mrembo mmoja mweupe kama huyu na sura kama hii ila mwembamba
 

GENTAMYCINE akiwaambieni acheni Kushoboka na Kuoa hawa Viumbe na badala yake muwe ' mnawabandua ' tu na ' Kusepa ' zenu huwa hamnielewi. Nafurahi sana jinsi Wanawake wenu hao mnaojifanya Kuwapenda, Kuwagharamia na Kuwahudumia kwa kila Kitu wanavyowatendeni na kuwateseni hivyo. Safi sana!
 
Aurlus Mabele hatoki Congo ya Kinshasa bali ni Congo ya Brazaville.
 
Mkuu genta wewe ni bachela uliyetukuka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…