OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Vilio vimeanza tena
Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
Na baada ya kupanga kikosi kigumu matokeo yakawaje?
Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
taNa baada ya kupanga kikosi kigumu matokeo yakawaje?
Inawezekana wewe ni mtu mzima na msomi lakini shirikisha akili zako kisawasawa. Usipende kutumia trend kama njia ya kutaka kutoa hisia za kishabiki hautakua na na tofauti na wale wapiga debe au wakaa vijiweni na kuongea mambo bila facts.Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
Wewe ndio hujashirikisha akili zako, ukizishirikisha vizuri zitakupa majibu. Upuuzi unaofanywa na Yanga kupanga matokeo haukubalikiInawezekana wewe ni mtu mzima na msomi lakini shirikisha akili zako kisawasawa. Usipende kutumia trend kama njia ya kutaka kutoa hisia za kishabiki hautakua na na tofauti na wale wapiga debe au wakaa vijiweni na kuongea mambo bila facts.
Leteni ushahidi wa huo upuuzi unaofanywa na Yanga. Ukiacha hisia zikuendeshe utaumia. Focus kubeba ubingwa usianze kutafuta huruma ikiwa utashindwa.Wewe ndio hujashirikisha akili zako, ukizishirikisha vizuri zitakupa majibu. Upuuzi unaofanywa na Yanga kupanga matokeo haukubaliki
Swali zuriNa baada ya kupanga kikosi kigumu matokeo yakawaje?
Ulikuwepo wakati wanapanga? Au wewe ndio mpangaji mwenyeweWewe ndio hujashirikisha akili zako, ukizishirikisha vizuri zitakupa majibu. Upuuzi unaofanywa na Yanga kupanga matokeo haukubaliki
Hiyo ni kanuni kuwa Kwa msimu timu inaweza kupanga uwanja wake wa nyumbani Kwa michezo miwiliMara ya mwisho Yanga imecheza mechi yake kwenye ardhi ya Singida ni lini? Bwana Fedha hataki wachezaji wa Yanga wasumbuke kwa hiyo anapeleka mechi maeneo rafiki. Aisee....
Ushahidi uko wazi . Mashindano ya CAF ni ushahidi tosha.Leteni ushahidi wa huo upuuzi unaofanywa na Yanga. Ukiacha hisia zikuendeshe utaumia. Focus kubeba ubingwa usianze kutafuta huruma ikiwa utashindwa.
CAFCL Yanga ameishia group stageUshahidi uko wazi . Mashindano ya CAF ni ushahidi tosha.