Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAF imekupa proof gani?Ushahidi uko wazi . Mashindano ya CAF ni ushahidi tosha.
Kwa hali hii basi hata makocha wenu wawili Robertinho na Benchika mliwafukuza kwa sababu hii hii ya kupanga kikosi dhaifu, kiasi cha kusababisha mkafungwa mara 4 mfulilizo na Yanga hao hao! Huku kwenye mechi moja kati ya hizo 4 mkifungwa goli 5-1!
Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa