Aussems alifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga

Ushahidi uko wazi . Mashindano ya CAF ni ushahidi tosha.
CAF imekupa proof gani?

Misimu miwili nyuma timu imecheza fainali CAF Confederation, msimu uliopita tumecheza robo CAF CL, msimu huu umechangiwa na badilisha ya makocha na bench lakini sio kwamba timu ni mbovu. Unamfukuza kocha siku chache kabla ya kucheza mechi unategemea nini?

Niambie hayo mashindano ya CAF yanakupa ushahidi gani?
 
Nasubir nione vichekesho kesho na shoga yenu Namungo
 
Kwa hali hii basi hata makocha wenu wawili Robertinho na Benchika mliwafukuza kwa sababu hii hii ya kupanga kikosi dhaifu, kiasi cha kusababisha mkafungwa mara 4 mfulilizo na Yanga hao hao! Huku kwenye mechi moja kati ya hizo 4 mkifungwa goli 5-1!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…