Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
- Thread starter
- #21
Kwa sababu la Zehera liliwahusu sana kwa maana ya mpira. The same logic applies.Nyie vyura! mbona naona kama hata huyo Mkwasa mnataka kumtimua? Acheni kujadili ya Aussems bali jadilini yanayowahusu, hasa namna ya kuwapa rupia waamuzi ili waendelee kuwabeba (kama yule aliwabeba juzi dhidi ya KMC).
Jadilini pia mtawezaje kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa kutoka 4 - 0 hadi 3 - 1 kwenye mechi ijayo ya Simba vs Yanga.