Aussems arudia maneno kama ya Rage: Ili Simba iendelee inahitaji kuachana na Viongozi Waongo na Vilaza

Aussems arudia maneno kama ya Rage: Ili Simba iendelee inahitaji kuachana na Viongozi Waongo na Vilaza

Nasikia mzee kilomoni anakuja kuchukua nafasi ya MO
 
Simba aliikuta na ameiacha, viongozi wa simba wote ni wasomi na madgree, anavyosema hawasoma anamaanisha nani?
Maneno ya aussems yanachona sana has a kwa kina manara.
 
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Patrick Aussems 'Uchebe' amesema ili klabu hiyo, iendelee inatakiwa kuachana na viongozi waongo na wasiokuwa na uelewa katika bodi yake ya wakurugenzi.
Huu ndio ukweli halisi. Bodi yetu imejaa wale viongozi wa zamani wa Simba ambao kwa kiasi kikubwa hawana weledi kabisa na football professionalism zaidi ya siasa za majitaka za mpira wa Tanzania
 
Back
Top Bottom