Kwa sababu la Zehera liliwahusu sana kwa maana ya mpira. The same logic applies.Nyie vyura! mbona naona kama hata huyo Mkwasa mnataka kumtimua? Acheni kujadili ya Aussems bali jadilini yanayowahusu, hasa namna ya kuwapa rupia waamuzi ili waendelee kuwabeba (kama yule aliwabeba juzi dhidi ya KMC).
Jadilini pia mtawezaje kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa kutoka 4 - 0 hadi 3 - 1 kwenye mechi ijayo ya Simba vs Yanga.
Mkuu, hayo maneno ya hovyo hovyo wala hayajatamkwa popote na Aussems. Ni wazandiki fulani ndo wanayazusha hayo. Aussems na professionalism yake ile hawezi kuzungumza kama layman namna hiyo.Simba aliikuta na ameiacha, viongozi wa simba wote ni wasomi na madgree, anavyosema hawasoma anamaanisha nani?
Hiyo timu ya akina Okwi Aussems alipikiwa na watangulizi wake akina Leschante et al, yeye amekuta kikosi chote kipo vizuri akawa anatembea kwenye mafanikio ya wenzake mpaka klabu bingwa Africa.Nimesoma mahali kuwa Ausems amefunguka juu ya usajili kuwa mchezaji aliyempendekeza na akasajiliwa ni Kahata peke yake na vile vile hakutaka Okwi na Kotei waondoke na hata wabrazili hakuwapendekeza yeye na hawana uwezo wa kucheza ligi ya Afrika. Iwapo hii taarifa ni kweli na si uzushi wa mwandishi basi nafikiri Simba kuna tatizo kubwa sana. Kama pamoja na uwepo wa MO mambo ya hovyo kiasi hiki yanafanyika kwenye usajili basi tuliotegemea Simba iende anga za TP Mazambe, Alhaly, n.k. tutakuwa tunaota ndoto za mchana.
Klabu kubwa kama Simba inatakiwa iwe na timu ya watu watatu mpaka watano kwa ajili ya kufanya scouting ya wachezaji ndani na nje ya nchi ambayo itakuwa inafanya kazi kwa ukaribu na benchi la ufundi. Mwisho wa siku kocha mkuu ndiye awe mwenye uamuzi wa mwisho nani asajiliwe na sio viongozi.
Akina nani, majina please na qualifications zaoBaadhi ya Board Members sio wote.
Simba aliikuta na ameiacha, viongozi wa simba wote ni wasomi na madgree, anavyosema hawasoma anamaanisha nani?
Kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofautiSimba aliikuta na ameiacha, viongozi wa simba wote ni wasomi na madgree, anavyosema hawasoma anamaanisha nani?
Mashabiki wa simba ni mbumbumbu_ Rage (mwenyekiti mstaafu wa mbumbumbu)Yanga kuna wajinga wengi..Msolla
Yanga ni wajinga mutu anapenda Yanga kuliko muke yake....Zahera
Rage ndio source yako, amesoma mpaka darasa la ngapiMashabiki wa simba ni mbumbumbu_ Rage (mwenyekiti mstaafu wa mbumbumbu)
Sasa mechi hizo si ndio zinawapeleka huko Caf ?Let us be honest.
Mshahara wake wa million 27 kwa mwezi na hakuna mpira wa Champions League, ni hasara kubwa. Mhindi kaona isiwe tabu.
Tayari Matola kachukuliwa. Sidhani kama salary yake itabidi 5M. Walipata kocha Mkuu wa kumlipa 10M, kuna chenji itabaki Kwenye mshahara wa Aussems.
Million 27 kwa mechi za Ndanda, Coastal Union, Alliance etc ni hasara. Angalau timu ikiwa kwenye Champions League na ikafika mbali, kuna hela inarudi.
Wewe jamaa ni nabii na sababu ameshaipata.ni kweli viongozi wa Simba wengi uelewa wao wa mpira ni mdogo wakati Rais ni Nkwabi hatukuwahi kusikia akiropoka ropoka ovyo pia habari nyingi zilikuwa zikifika kwenye vyombo vya habari baada ya maamuzi kufanyika ila huyu Kaduguda amekuwa anatoa siri kiasi cha kwamba magazeti yalikuwa na habari za kufukuzwa kocha wiki tatu kabla, kuna huyu meneja wa Simba Patrick Rweymamu alikuwa anabishana na kocha kuhusu nani afanyiwe mabadiriko mwisho upuuzi wa viongozi tumeouona kwenye usajili walioufanya hawakuzingatia ripoti ya kocha bali walifata mapenzi yao binafsi isitoshe kocha aliwaambia kocha wa makipa anatakiwa kuongeza ujuzi lakini hawakufata masharti yoyote halafu wanalalamika kocha hatoi ripoti yoyote wakati wakipewa ripoti hawatekelezi Mo amekuja kutafuta jina tu Simba sasa hivi ameona gharama zimezidi anatafuta sababu