macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
44 mkuu. Kwetu hakuna jua.Unavaa kobazi size gani kijana usiungue iyo miguu na jua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
44 mkuu. Kwetu hakuna jua.Unavaa kobazi size gani kijana usiungue iyo miguu na jua
utakwuaje rightious wakati kitabu unachotumia kinasema kata kichwa wakristo na wayahudi aisee? mnamdanganya nani? au mnafikiri hatuelewi? na kufanya hivyo mmeambiwa ni kuwa rightious na mtapata mabikira 72. that's the point.Tatizo huelewi 🤣 ni ngumu sana mnachanganya tabia ya mtu na dini ,uislamu is all about being righteous lakini binadamu sio perfect ndio maana kuna sheria na hukumu.
Adolf Hitler alikuwa mkristo tena mfuatiliaji sana ila hakujawahi kuhusishwa ukatili wake na ukristo hata siku moja wala chuki zake kwa jews ,hata hao wakina Queen Elizabeth (Anglican) waliwachukia ila ilikuwa ni ishu binafsi sio wakristo wote.
Hata waganga wanamtaja Mungu kweny vilinge vyao lakini wanajulikana kama washirikina ,kwa hiyo mtu akitaja neno fulani basi ndio anahusika na kila kitu ...Allah akbar'' ni Mwenyezi Mungu mkubwa wala halina uhusiano na uislamu
.Kuwa muislamu ni imani ya moyoni sio wakina Andrew Tate sio waislamu wale .
Mpaka uombe ufundishwe ukija na mihemko utabaki na chuki bila ya kujijua ,baadhi ya mamber wa hayo makundi ni wakristo ingia hata youtube uangalie.utakwuaje rightious wakati kitabu unachotumia kinasema kata kichwa wakristo na wayahudi aisee? mnamdanganya nani? au mnafikiri hatuelewi? na kufanya hivyo mmeambiwa ni kuwa rightious na mtapata mabikira 72. that's the point.
Haha hahaha 🤣 MUNGU mwema Ndugu yangu. Ila nasikia alijutia sana tukio lileLakini hata wakristu wako wauaji. Unamwona mtu yuko madhabahuni siku ya Jumapili akihubiri upendo na kesho yake anakwenda kumpiga risasi kijana mdogo kabisa tena akiwa ikulu. Wana tofauti gani?
Hawa watu siyo wa kukaribisha, wazungu sijui mkoje...fukuza warudi kwaoMi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
Kwani wewe huyo jamaa ulimsikia akiimba Yesu ni Mungu au Allah akibaru?We acha upkmbavu tofautisha mtu binafsi na Dini ya mtu sio kila anachofanya anafanya kwa niaba ya dini yake hapana
Tatixo la nyie mbimbimbu mnatangiliza chuki dhidi ya uislamu badala ya kutimia akili na logic kony wa Uganda ni mkatoliki na kikindi chake kinaitwa Lord resistance army LRA ilisha wahi kiona watu wanaunganisha ukatoloki na uasi, ule Northern Ireland wakatoliki wanafanya ugaidi wa kila aina kujitenga ilisha wahi kuona wana kosoa kanisa kwa ugaidi mfano ni mingi tu.
Wewe una Akili sana !hiyo ni dalili ya kukata tamaa
Ukisha kuwa na watu ughaibuni walioingia kwa kuunga unga halafu wakawa hawana maisha, wanaweza kufanya chochote. Unaona VISA ya marekani inavyokuwa ngumu kuipata, hujitahidi kukwepa kupeka vijana waliokata tamaa. Ogopa sana vijana waliokata tamaa na maisha.......huiona bunduki kama fimbo....
Achana na huyo hana akili mkuuKwani wewe huyo jamaa ulimsikia akiimba Yesu ni Mungu au Allah akibaru?
Kina sisi tusemeje sasa mkuu
Our life and living standards are more better in Oman than Europe only go to Europe only for study in EuropeanKwa kweli sio jambo jema kuhukumu kwa ujumla,lakini naungana na wewe kuwa...
Waislamu waende kwenye nchi za jamaa zao,mbona ziko nyingi tena nzuri na maisha mazuri kama Ulaya
Huko watakutana na wenzao wanao banana mila hata na imani
Huko hakutakua na kulazimishana mambo ya imani tena
Waende Saudi,Qutar,Oman nk
Wanatafuta nini Ulaya
Oman does not receive anyone only those who come in peace and professional jobs, trouble makers are not welcomedOur life and living standards are more better in Oman than Europe only go to Europe only for study in European
universities
If you have better universities please tell us
lakini kwenye kitabu chenu si kuna aya inayowaelekeza mchinje wenzenu? au haipo, labda tuanzie hapo.Mpaka uombe ufundishwe ukija na mihemko utabaki na chuki bila ya kujijua ,baadhi ya mamber wa hayo makundi ni wakristo ingia hata youtube uangalie.
Neno moja tu linakuchanganya , tofauti ya muislamu asiyekuwa muislamu ni salah ,hao jamaa zako hata hawasali kabisa wao ni vita ...Si miongoni mwa mafundisho ya uislamu ..
Kama uko Tanga nitafute nikupe somo ili uelewe.
Wenzenu kina nani mbona ww unapumua mwenyewe kias cha kuandika pumba zako watu wanasoma Wewe ujawai kuonana na muislam alikuuwa!!!!!??????lakini kwenye kitabu chenu si kuna aya inayowaelekeza mchinje wenzenu? au haipo, labda tuanzie hapo.
usitukane wala usikasirike, jibu swali. au nimegusa penye ukweli wakitabu? nasema, kitabu chenu kinawaelekeza mchinje wale wasioamini (makafiri - wakristo - mayahudi) na wale wanaouacha uislam. kweli au si kweli. ukishindwa hapo sema nikuwekee majibu ya kuchagua kweney box.Wenzenu kina nani mbona ww unapumua mwenyewe kias cha kuandika pumba zako watu wanasoma Wewe ujawai kuonana na muislam alikuuwa!!!!!??????
Walokole bila propaganda chai aishuki asubui!!!!!! Maisha yao ni uwongo uwongo viwete watatembea vipofu wataona Wafu watafufuliwa tunakuombea ukijamba ushuzi usunike!!!!! tukisema mizwazwa mzigo kwa taifa uwa mnaelewa!!!!
Hamna 🤣🤣labda usome vizuri ...Maana kipind kingine ni wakati wa vita.lakini kwenye kitabu chenu si kuna aya inayowaelekeza mchinje wenzenu? au haipo, labda tuanzie hapo.
Tunashukuru sana kuwa serikali yetu haina dini. Huku Ujerumani ukifanikiwa kupata visa kutoka nchi ya uislamu(e.g Saudi Arabia,Pakistani ,Bangladesh etc). Unatakiwa Ureport kila baada ya miezi mitatu Ausländerbehörde. Yaani wanateseka vibaya. Nina mshikaji wangu Koushik ni mbangladesh. Hawezi kufanya kazi mbali na anapoishi kwa sababu kila baada ya miezi mitatu anatakiwa kureport kufanyiwa security clearance. Jamaa anataka kuhama dini na nchi awe mkristo wa Kerala India. Angalau maisha yawe marahisi. Kashabatizwa kuwa mkristo bado kupata Uraia wa India.Nimekuwa nikieleza mara nyingi sana humu mtandaoni kwamba Kuna Mstari Mwembamba Sana unaotenganisha Kati ya Uislam na Ugaidi.
Siyo Siri hata kidogo, ndugu zetu Waislam walio na misimamo mikali ya kijihadi ndio wamekuwa chachu kubwa kubwa sana kwa Tawala za nchi za Magharibi kuwa na Sera Kali Sana za Kupinga Uhamiaji na Wahamiaji wa kutoka nchi za Kigeni.
Suala la Kupinga Wahamiaji barani Ulaya na Marekani limekuwa gumzo kubwa sana katika nchi hizo kutokana na matendo maovu na Uhalifu mbaya unaofanywa na hawa ndugu zetu Waislam katika mitizamo ya kidini ya kiislamu.
Sasa hivi imekuwa ngumu Sana kwa Watu mbalimbali kupewa Viza au Vibali vya Uhamiaji katika nchi nyingi sana za huko barani Ulaya na Marekani kutokana na janga hili la Waislamu kujitoa muhanga kwa misingi ya Imani yao ya Uislamu
Alikuwa anatabasamu kwa sababu ameambiwa kwa kufanya mauaji hayo ataenda peponi.Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
Hii ni kutokana na Itikadi za kiimani za dini hiyo ya Uislam, misimamo mikali ya kijihad ni tishio kubwa sana kwa Usalama wa Watu na Mali zao katika nchi nyingi Sana hapa duniani. That's why unaona kwamba Watu wengi wenye Itikadi kali za dini ya Kiislamu wamekuwa wakiwekwa kwenye 'Spotlight' na mamlaka za Usalama katika nchi nyingi sana.Tunashukuru sana kuwa serikali yetu haina dini. Huku Ujerumani ukifanikiwa kupata visa kutoka nchi ya uislamu(e.g Saudi Arabia,Pakistani ,Bangladesh etc). Unatakiwa Ureport kila baada ya miezi mitatu Ausländerbehörde. Yaani wanateseka vibaya. Nina mshikaji wangu Koushik ni mbangladesh. Hawezi kufanya kazi mbali na anapoishi kwa sababu kila baada ya miezi mitatu anatakiwa kureport kufanyiwa security clearance. Jamaa anataka kuhama dini na nchi awe mkristo wa Kerala India. Angalau maisha yawe marahisi. Kashabatizwa kuwa mkristo bado kupata Uraia wa India.
YeahSolution ni kuiga anachofanya trump, rudisha wote kwao.