Austria: Atekeleza tukio la mauaji huku akipiga kelele za "Allahu Akbar", alikuwa akitabasamu alipokamatwa na polisi

Austria: Atekeleza tukio la mauaji huku akipiga kelele za "Allahu Akbar", alikuwa akitabasamu alipokamatwa na polisi

Tatizo huelewi 🤣 ni ngumu sana mnachanganya tabia ya mtu na dini ,uislamu is all about being righteous lakini binadamu sio perfect ndio maana kuna sheria na hukumu.

Adolf Hitler alikuwa mkristo tena mfuatiliaji sana ila hakujawahi kuhusishwa ukatili wake na ukristo hata siku moja wala chuki zake kwa jews ,hata hao wakina Queen Elizabeth (Anglican) waliwachukia ila ilikuwa ni ishu binafsi sio wakristo wote.

Hata waganga wanamtaja Mungu kweny vilinge vyao lakini wanajulikana kama washirikina ,kwa hiyo mtu akitaja neno fulani basi ndio anahusika na kila kitu ...Allah akbar'' ni Mwenyezi Mungu mkubwa wala halina uhusiano na uislamu
.Kuwa muislamu ni imani ya moyoni sio wakina Andrew Tate sio waislamu wale .
utakwuaje rightious wakati kitabu unachotumia kinasema kata kichwa wakristo na wayahudi aisee? mnamdanganya nani? au mnafikiri hatuelewi? na kufanya hivyo mmeambiwa ni kuwa rightious na mtapata mabikira 72. that's the point.
 
Mpaka uombe ufundishwe ukija na mihemko utabaki na chuki bila ya kujijua ,baadhi ya mamber wa hayo makundi ni wakristo ingia hata youtube uangalie.

Neno moja tu linakuchanganya , tofauti ya muislamu asiyekuwa muislamu ni salah ,hao jamaa zako hata hawasali kabisa wao ni vita ...Si miongoni mwa mafundisho ya uislamu ..

Kama uko Tanga nitafute nikupe somo ili uelewe.
 
Lakini hata wakristu wako wauaji. Unamwona mtu yuko madhabahuni siku ya Jumapili akihubiri upendo na kesho yake anakwenda kumpiga risasi kijana mdogo kabisa tena akiwa ikulu. Wana tofauti gani?
Haha hahaha 🤣 MUNGU mwema Ndugu yangu. Ila nasikia alijutia sana tukio lile
 
We acha upkmbavu tofautisha mtu binafsi na Dini ya mtu sio kila anachofanya anafanya kwa niaba ya dini yake hapana

Tatixo la nyie mbimbimbu mnatangiliza chuki dhidi ya uislamu badala ya kutimia akili na logic kony wa Uganda ni mkatoliki na kikindi chake kinaitwa Lord resistance army LRA ilisha wahi kiona watu wanaunganisha ukatoloki na uasi, ule Northern Ireland wakatoliki wanafanya ugaidi wa kila aina kujitenga ilisha wahi kuona wana kosoa kanisa kwa ugaidi mfano ni mingi tu.
Kwani wewe huyo jamaa ulimsikia akiimba Yesu ni Mungu au Allah akibaru?

Kina sisi tusemeje sasa mkuu
 
hiyo ni dalili ya kukata tamaa
Ukisha kuwa na watu ughaibuni walioingia kwa kuunga unga halafu wakawa hawana maisha, wanaweza kufanya chochote. Unaona VISA ya marekani inavyokuwa ngumu kuipata, hujitahidi kukwepa kupeka vijana waliokata tamaa. Ogopa sana vijana waliokata tamaa na maisha.......huiona bunduki kama fimbo....
Wewe una Akili sana !
Ogopa watu ambao wamekata tamaa tena hasa wakiwa ni vijana !
They have nothing to lose 😳 !
 
Kwa kweli sio jambo jema kuhukumu kwa ujumla,lakini naungana na wewe kuwa...

Waislamu waende kwenye nchi za jamaa zao,mbona ziko nyingi tena nzuri na maisha mazuri kama Ulaya

Huko watakutana na wenzao wanao banana mila hata na imani

Huko hakutakua na kulazimishana mambo ya imani tena

Waende Saudi,Qutar,Oman nk

Wanatafuta nini Ulaya
Our life and living standards are more better in Oman than Europe only go to Europe only for study in European
universities
If you have better universities please tell us
 
Our life and living standards are more better in Oman than Europe only go to Europe only for study in European
universities
If you have better universities please tell us
Oman does not receive anyone only those who come in peace and professional jobs, trouble makers are not welcomed
 
Mpaka uombe ufundishwe ukija na mihemko utabaki na chuki bila ya kujijua ,baadhi ya mamber wa hayo makundi ni wakristo ingia hata youtube uangalie.

Neno moja tu linakuchanganya , tofauti ya muislamu asiyekuwa muislamu ni salah ,hao jamaa zako hata hawasali kabisa wao ni vita ...Si miongoni mwa mafundisho ya uislamu ..

Kama uko Tanga nitafute nikupe somo ili uelewe.
lakini kwenye kitabu chenu si kuna aya inayowaelekeza mchinje wenzenu? au haipo, labda tuanzie hapo.
 
lakini kwenye kitabu chenu si kuna aya inayowaelekeza mchinje wenzenu? au haipo, labda tuanzie hapo.
Wenzenu kina nani mbona ww unapumua mwenyewe kias cha kuandika pumba zako watu wanasoma Wewe ujawai kuonana na muislam alikuuwa!!!!!??????

Walokole bila propaganda chai aishuki asubui!!!!!! Maisha yao ni uwongo uwongo viwete watatembea vipofu wataona Wafu watafufuliwa tunakuombea ukijamba ushuzi usunike!!!!! tukisema mizwazwa mzigo kwa taifa uwa mnaelewa!!!!
 
usitukane wala usikasirike, jibu swali. au nimegusa penye ukweli wakitabu? nasema, kitabu chenu kinawaelekeza mchinje wale wasioamini (makafiri - wakristo - mayahudi) na wale wanaouacha uislam. kweli au si kweli. ukishindwa hapo sema nikuwekee majibu ya kuchagua kweney box.
 
Nimekuwa nikieleza mara nyingi sana humu mtandaoni kwamba Kuna Mstari Mwembamba Sana unaotenganisha Kati ya Uislam na Ugaidi.

Siyo Siri hata kidogo, ndugu zetu Waislam walio na misimamo mikali ya kijihadi ndio wamekuwa chachu kubwa kubwa sana kwa Tawala za nchi za Magharibi kuwa na Sera Kali Sana za Kupinga Uhamiaji na Wahamiaji wa kutoka nchi za Kigeni.

Suala la Kupinga Wahamiaji barani Ulaya na Marekani limekuwa gumzo kubwa sana katika nchi hizo kutokana na matendo maovu na Uhalifu mbaya unaofanywa na hawa ndugu zetu Waislam katika mitizamo ya kidini ya kiislamu.
Sasa hivi imekuwa ngumu Sana kwa Watu mbalimbali kupewa Viza au Vibali vya Uhamiaji katika nchi nyingi sana za huko barani Ulaya na Marekani kutokana na janga hili la Waislamu kujitoa muhanga kwa misingi ya Imani yao ya Uislamu
Tunashukuru sana kuwa serikali yetu haina dini. Huku Ujerumani ukifanikiwa kupata visa kutoka nchi ya uislamu(e.g Saudi Arabia,Pakistani ,Bangladesh etc). Unatakiwa Ureport kila baada ya miezi mitatu Ausländerbehörde. Yaani wanateseka vibaya. Nina mshikaji wangu Koushik ni mbangladesh. Hawezi kufanya kazi mbali na anapoishi kwa sababu kila baada ya miezi mitatu anatakiwa kureport kufanyiwa security clearance. Jamaa anataka kuhama dini na nchi awe mkristo wa Kerala India. Angalau maisha yawe marahisi. Kashabatizwa kuwa mkristo bado kupata Uraia wa India.
 
Hii ni kutokana na Itikadi za kiimani za dini hiyo ya Uislam, misimamo mikali ya kijihad ni tishio kubwa sana kwa Usalama wa Watu na Mali zao katika nchi nyingi Sana hapa duniani. That's why unaona kwamba Watu wengi wenye Itikadi kali za dini ya Kiislamu wamekuwa wakiwekwa kwenye 'Spotlight' na mamlaka za Usalama katika nchi nyingi sana.

Aidha, endapo kama Passport yako ya kusafiria ikiwa imegongwa mihuri ya kuwahi kuzuru kwenye moja ya nchi hizo za Kiislam, basi unatakiwa kujiandaa vizuri Sana kwa kuwa tayari kuhojiwa maswali mengi Sana kutoka kwa Maafisa wa Uhamiaji au Maafisa wa Usalama katika nchi mbalimbali utakazotembelea hapa duniani. Seriously, hawa ndugu zetu wamekuwa tatizo kubwa sana kwa kweli.
 
Wacha walipuliwe, wakiambiwa hii dini ya muarabu ipigwe pini wanabisha na kutaka waonekane wazuru.
Hii dini ni tishio la usalama duniani.
 
Back
Top Bottom