joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Lupita Nyong'o ana umuhimu gani katika historia ya Kenya zaidi ya kucheza movie?, huyo ni level ya Diamond na Ali Kiba,Wangare Maathai, Lupita Nyong'o, Barrack Obama sr, mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lupita Nyong'o ana umuhimu gani katika historia ya Kenya zaidi ya kucheza movie?, huyo ni level ya Diamond na Ali Kiba,Wangare Maathai, Lupita Nyong'o, Barrack Obama sr, mimi.
Ile ni ptamthiliya ameandika yeye a jamaa mmoja hivi anaitwa Ngugi Wa MiriiiNdio aneandika ile drama I will marry when I want?
Haswaaa hujakoseaNdio aneandika ile drama I will marry when I want?
Nimeelewa kwa Nini unakuwa negative kila wakati hata pale tunahitaji pongezi unatokwa povu tu. Nyinyi Kama "wakombozi'' wa Afrika, mbona hamtoi watu mashuhuri? Ni vile Bongo zenu zimelala ama nyinyi no bongolala tu??Bangi ya wakenya ni mbaya. Tangu siku hiyo nilivyosikia hiyo issue, nilichukia kila nyang'au.
wako na tundu lissu bro...kapigwa risasi kumi na sita na mkulu tena maeneo ya bunge dodoma ila katoka...huyo ni shujaa bana...Nimeelewa kwa Nini unakuwa negative kila wakati hata pale tunahitaji pongezi unatokwa povu tu. Nyinyi Kama "wakombozi'' wa Afrika, mbona hamtoi watu mashuhuri? Ni vile Bongo zenu zimelala ama nyinyi no bongolala tu??
Niliona kitabu "This time tomorrow", sio huyu aliyekiandika?
1)Julius NyerereNimeelewa kwa Nini unakuwa negative kila wakati hata pale tunahitaji pongezi unatokwa povu tu. Nyinyi Kama "wakombozi'' wa Afrika, mbona hamtoi watu mashuhuri? Ni vile Bongo zenu zimelala ama nyinyi no bongolala tu??
McDonald Mariga1)Julius Nyerere
2)Salim Ahamed Salim(General secretary OAU for 12 years
3) Asha Rose Migiro( Depute UN general secretary)
Taja mkenya yeyote aliyewahi kufikia umaarufu wa yoyote kati ya hawa watatu.
Niliwahi kukaa mtaa unaitwa hivo Nairobi, kumbe ni jina la Jaluo jeuri? Kabla ya leo nilikua najua kua ni jina la mzungu!!Please do and while at it tafuta historia ya Argwings Khodek(jaluo jeuri) [emoji23][emoji23]
This man was brilliant!!
Hawa unaowataja ni entertainers, kwetu huwa hatuwahesabu kama ni watu wa kujipigia kifua, ni watu wa kawaida.McDonald Mariga
Divock Origi
Victor Mugubi Wanyama
Humphrey Khayange
Buy the way Leo ni UEFA Champions league final make sure you tune in [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ni ptamthiliya ameandika yeye a jamaa mmoja hivi anaitwa Ngugi Wa Miriii
Alishinda Oscar, first African person to win an Oscar. Siongei kuhusu African Americans bali naongea kuhusu African. Kama ujuavyo Oscar is the biggest award for actors.Lupita Nyong'o ana umuhimu gani katika historia ya Kenya zaidi ya kucheza movie?, huyo ni level ya Diamond na Ali Kiba,
Asante, nitakisoma hicho kitabu cha Zuma.The river between cha Ngungi,things fall apart cha chinua achebe,Mine boy cha Peter Abrahams ndo kilikuwa kitabu changu pendwa. Xuma alinigusa sana kuhangaika hadi kwenda kutafuta kazi kwenye mgodi,hadi kumuoa Eliza. Xuma mpaka kuwa na mafanikio.
Umesahau ule mama wa U.N Habitat1)Julius Nyerere
2)Salim Ahamed Salim(General secretary OAU for 12 years
3) Asha Rose Migiro( Depute UN general secretary)
Taja mkenya yeyote aliyewahi kufikia umaarufu wa yoyote kati ya hawa watatu.
He was one of the first lawyers in Kenya.Niliwahi kukaa mtaa unaitwa hivo Nairobi, kumbe ni jina la Jaluo jeuri? Kabla ya leo nilikua najua kua ni jina la mzungu!!
Hiyo ina umuhimu gani, au imesaidiaje Kenya kwa ujumla zaidi ya kujulikana?Alishinda Oscar, first African person to win an Oscar. Siongei kuhusu African Americans bali naongea kuhusu African. Kama ujuavyo Oscar is the biggest award for actors.
Huyo kwetu anashika nafasi ya NNEUmesahau ule mama wa U.N Habitat