Author Ngugi wa Thiong’o wins major German peace prize

Bangi ya wakenya ni mbaya. Tangu siku hiyo nilivyosikia hiyo issue, nilichukia kila nyang'au.
Nimeelewa kwa Nini unakuwa negative kila wakati hata pale tunahitaji pongezi unatokwa povu tu. Nyinyi Kama "wakombozi'' wa Afrika, mbona hamtoi watu mashuhuri? Ni vile Bongo zenu zimelala ama nyinyi no bongolala tu??
 
wako na tundu lissu bro...kapigwa risasi kumi na sita na mkulu tena maeneo ya bunge dodoma ila katoka...huyo ni shujaa bana...
 
The river between cha Ngungi,things fall apart cha chinua achebe,Mine boy cha Peter Abrahams ndo kilikuwa kitabu changu pendwa. Xuma alinigusa sana kuhangaika hadi kwenda kutafuta kazi kwenye mgodi,hadi kumuoa Eliza. Xuma mpaka kuwa na mafanikio.
 
Nimeelewa kwa Nini unakuwa negative kila wakati hata pale tunahitaji pongezi unatokwa povu tu. Nyinyi Kama "wakombozi'' wa Afrika, mbona hamtoi watu mashuhuri? Ni vile Bongo zenu zimelala ama nyinyi no bongolala tu??
1)Julius Nyerere
2)Salim Ahamed Salim(General secretary OAU for 12 years
3) Asha Rose Migiro( Depute UN general secretary)
Taja mkenya yeyote aliyewahi kufikia umaarufu wa yoyote kati ya hawa watatu.
 
McDonald Mariga
Divock Origi
Victor Mugubi Wanyama
Humphrey Khayange

Buy the way Leo ni UEFA Champions league final make sure you tune in 😂😂😂
 
Please do and while at it tafuta historia ya Argwings Khodek(jaluo jeuri) [emoji23][emoji23]
This man was brilliant!!
Niliwahi kukaa mtaa unaitwa hivo Nairobi, kumbe ni jina la Jaluo jeuri? Kabla ya leo nilikua najua kua ni jina la mzungu!!
 
McDonald Mariga
Divock Origi
Victor Mugubi Wanyama
Humphrey Khayange

Buy the way Leo ni UEFA Champions league final make sure you tune in [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa unaowataja ni entertainers, kwetu huwa hatuwahesabu kama ni watu wa kujipigia kifua, ni watu wa kawaida.
1) Mbwana Samara
2) Diamond Platnumz
3) Ally Kiba.

Nimekuambia utaje MTU mmoja kutoka Kenya mwenye hadhi na umaarufu sawa na
1) Nyerere
2) Salim Ahamedi Salim
3) Asha Rose-Migiro
 
Alafu huyu Prof. Ngugi si ndo yule aliewahi kuishtaki hotel moja huo marekani kwa kukatä kumpokea licha ya kua na booking pale, eti waliona haendani na hadhi ya hio hotel? Sijui kesi yake iliishia wapi?
 
Lupita Nyong'o ana umuhimu gani katika historia ya Kenya zaidi ya kucheza movie?, huyo ni level ya Diamond na Ali Kiba,
Alishinda Oscar, first African person to win an Oscar. Siongei kuhusu African Americans bali naongea kuhusu African. Kama ujuavyo Oscar is the biggest award for actors.
 
The river between cha Ngungi,things fall apart cha chinua achebe,Mine boy cha Peter Abrahams ndo kilikuwa kitabu changu pendwa. Xuma alinigusa sana kuhangaika hadi kwenda kutafuta kazi kwenye mgodi,hadi kumuoa Eliza. Xuma mpaka kuwa na mafanikio.
Asante, nitakisoma hicho kitabu cha Zuma.
 
1)Julius Nyerere
2)Salim Ahamed Salim(General secretary OAU for 12 years
3) Asha Rose Migiro( Depute UN general secretary)
Taja mkenya yeyote aliyewahi kufikia umaarufu wa yoyote kati ya hawa watatu.
Umesahau ule mama wa U.N Habitat
 
Niliwahi kukaa mtaa unaitwa hivo Nairobi, kumbe ni jina la Jaluo jeuri? Kabla ya leo nilikua najua kua ni jina la mzungu!!
He was one of the first lawyers in Kenya.
 
Alishinda Oscar, first African person to win an Oscar. Siongei kuhusu African Americans bali naongea kuhusu African. Kama ujuavyo Oscar is the biggest award for actors.
Hiyo ina umuhimu gani, au imesaidiaje Kenya kwa ujumla zaidi ya kujulikana?
 
Back
Top Bottom