Author Ngugi wa Thiong’o wins major German peace prize

Ngugi Wa Thiong'o huwa anaandika vitabu vyake vyote kwa lugha yake asili ya kikikuyu. Kisha vinatafsiriwa kwa lugha zingine, kiingereza, kijerumani, kifaransa, spanish, n.k. Nilisoma vitabu vyake vya 'Matigari ma Njiruungi'(Remains of the Bullets) na play yake 'Ngahika Ndeenda'(I Will Marry When I Want) kwa lugha ya Kikuyu na vilinoga zaidi ya vile vya tafsiri. Mwafrika ambaye hajielewi ndio huwa haoni umuhimu wa lugha zetu za asili.
 
Huyo mkubwa wa OAU alisaidia aje Tanzania zaidi ya kujulikana?
Kwanza ndiye aliyepigania Kiswahili kukubalika kuwa lugha rasmi Africa. Pili ndiye sliyesaidia sana kufanikisha Africa nzima kuunganisha nguvu na kuzisaidia vita vya ukombozi kufanikiwa.

Alisaidia sana kushawishi ili ajenda za Tanzania kupita kwa urahisi sana pale OAU. Ukiona kwamba Leo hii Tanzania inapata heshima kubwa Africa na duniani, yeye alisaidia sana, mfano ni kuzishawishi nchi za Africa kytofungamana na upande wowote, kwa hapa Africa hilo wazo alianzisha Nyerere, baadae nchi nyingi za Africa zilifuata.
 
Sawa hongera zake
 
Ngugi Wa Thiong'o huwa anaandika vitabu vyake vyote kwa lugha yake asili ya kikikuyu. Kisha vinatafsiriwa kwa lugha zingine, kiingereza, kijerumani, kifaransa, spanish, n.k. Nilisoma vitabu vyake vya 'Matigari ma Njiruungi'(Remains of the Bullets) na play yake 'Ngahika Ndeenda'(I Will Marry When I Want) kwa lugha ya Kikuyu na vilinoga zaidi ya vile vya tafsiri. Mwafrika ambaye hajielewi ndio huwa haoni umuhimu wa lugha zetu za asili.
Sasa hapo kuna faida gani ya kutumia lugha ya wakikuyu wakati anataka vitabu vyake visomwe na wakenya wote na ikiwezekana na nje ya Kenya?, visinge tafasiriwe watu wengine wangewezaje kuvisoma?. Kweli kabisa unaona kuandika vitabu kwa kutumia lugha ya kabila ni jambo la maana wakati lengo ni kuwafikia watu wote, really,?
 
Simple. Asingeandika kwa lugha ya kikikuyu hungemjua, wala vitabu vyake havingesifiwa na kujulikana duniani kote. Hiyo ndio lugha ambayo anaifahamu vyema na ambayo inamwezesha kujieleza vizuri kwenye tamthilia zake. Ngugi Wa Thiong'o hadi sasa hivi anaendeleza kampeni zake za kukuza, kuthamini na kuhifadhi lugha na tamaduni asili za kiafrika. Yeye, akiungwa mkono na raila, ndiye aliyeibuka na wazo la kuwafunza watoto kwenye shule za chekechea na darasa za kwanza shule ya msingi kwa lugha zao asili. Wazo lake lilikubalika ila utekelezaji ndio bado.
 
Simple. Asingeandika kwa lugha ya kikikuyu hungemjua, wala vitabu vyake havingesifiwa na kujulikana duniani kote. Hiyo ndio lugha ambayo anaifahamu vyema na ambayo inamwezesha kujieleza vizuri kwenye tamthilia zake. Ngugi Wa Thiong'o hadi sasa hivi anaendeleza kampeni zake za kukuza, kuthamini na kuhifadhi lugha na tamaduni asili za kiafrika. Wazo lake la kuwafunza watoto kwenye shule za chekechea na darasa za kwanza shule ya msingi kwa lugha zao asili lilikubalika katiba mpya ya Kenya ilipoandikwa ila utekelezaji ndio bado.
Lengo la mwandishi wa vitabu au habari ni kutaja kufikisha ujumbe au ni kutaka yeye ajulikane?. Sasa akitumia lugha ya ukabila sisi ambao hamuwezi kusoma na kuelewa lugha ya Kikuyu tutamjuaje?.

Ukitaka kufikisha ujumbe kwa watu wengi, ni lazima utue lugha inayofahamika kwa watu unaotaka kuwafikisha ujumbe wako, tena utumie lugha rahisi. Ngugi amefahamika kupitia vitabu vilivyoandikwa kwa Kiingereza sio Kikuyu.

Leo ndio Mara ya kwanza ninasikia kutoka kwako kwamba ameandika vitabu kwa Kikuyu, wakati nimemsikia zaidi ya miaka ishirini iliyopita, isingekua sio hivi vitabu vyake vya kiingereza, hasingejulikana popote pale zaidi ya "Kikuyu Nation", punguza ukabila, ukabila haujawasaidia lolote wakenya zaidi ya kuwagawanya.
 
Ngugi Wa Thiong'o huwa anaandika vitabu vyake vyote kwa lugha yake asili ya kikikuyu. Kisha vinatafsiriwa kwa lugha zingine, kiingereza, kijerumani, kifaransa, spanish, n.k. Nilisoma vitabu vyake vya 'Matigari ma Njiruungi'(Remains of the Bullets) na play yake 'Ngahika Ndeenda'(I Will Marry When I Want) kwa lugha ya Kikuyu na vilinoga zaidi ya vile vya tafsiri. Mwafrika ambaye hajielewi ndio huwa haoni umuhimu wa lugha zetu za asili.
Let me also add to your list Caitaani Mũtharabainĩ or The devil on the cross
 
Lengo la mwandishi wa vitabu au habari ni kutaja kufikisha ujumbe au ni kutaka yeye ajulikane?. Sasa akitumia lugha ya ukabila sisi ambao hamuwezi kusoma na kuelewa lugha ya Kikuyu tutamjuaje?.

Ukitaka kufikisha ujumbe kwa watu wengi, ni lazima utue lugha inayofahamika kwa watu unaotaka kuwafikisha ujumbe wako, tena utumie lugha rahisi. Ngugi amefahamika kupitia vitabu vilivyoandikwa kwa Kiingereza sio Kikuyu.

Leo ndio Mara ya kwanza popote pale zaidi ya "Kikuyu Nation", punguza ukabila, ukabila haujawasaidia lolote wakenya zaidi ya kuwagawanya.
Acha ushamba, hoja yangu haikuwa kwa nia ya kujibizana na mtu yeyote yule. Kama hujui kuhusu Ngugi Wa Thiong'o na kampeni zake za miaka mingi, za kuendeleza lugha asili za kiafrika(sio kikikuyu pekee yake) basi hujui lolote kumhusu. Alafu ukabila unaingiaje hapa, unataka kusema kwamba mtu akiandika au kuongea kwa kutumia lugha asili za kiafrika yeye ni mkabila? Siiitiupid!
 
Acha ushamba boss, hoja yangu haikuwa kwa nia ya kujibizana na mtu yeyote yule. Kama hujui kuhusu Ngugi Wa Thiong'o na kampeni zake za miaka mingi, za kuendeleza lugha asili za kiafrika(sio kikikuyu pekee yake) basi hujui lolote kumhusu. Alafu ukabila unaingiaje hapa? Siitiupid!
Wewe ulianza kuwaponda watu ambao hawaziendekezi wala kutumia lugha zao za asili kama anavyofanya Ngugi, pia ulisema kwamba amejulikana kwasababu ametumia lugha ya Kikuyu, kibali au kataa, kutumia lugha ya kabila katika kundi lenye watu wa makabila mengine, ni kuwatenga na kuwabagua, katika nchi iliyogubikwa na ukabila kama Kenya, kitendo hicho ni hatari na hakipaswi kushabikiwa hata kidogo, hasa kikifanywa na msomi kama Ngugi, huo ni ukabila na sio vinginevyo.
 
Nimeelewa kwa Nini unakuwa negative kila wakati hata pale tunahitaji pongezi unatokwa povu tu. Nyinyi Kama "wakombozi'' wa Afrika, mbona hamtoi watu mashuhuri? Ni vile Bongo zenu zimelala ama nyinyi no bongolala tu??

Ahaaa haaa haaa
Acha kukurupuka. Fuatilia mjadala kabla ya kuandika. Wapi nimemchukia mKenya ambaye ni mpigania USAWA na haki.
Nimesema nilichukia SANA nyang'au waliobaka mke wa Ngugi. Au nawe ni mmoja wapo??? MAPARACHICHI weee.
 
Wewe ulianza kuwaponda watu ambao hawaziendekezi wala kutumia lugha zao za asili kama anavyofanya Ngugi, pia ulisema kwamba amejulikana kwasababu ametumia lugha ya Kikuyu, kibali au kataa, kutumia lugha ya kabila katika kundi lenye watu wa makabila mengine, ni kuwatenga na kuwabagua, katika nchi iliyogubikwa na ukabila kama Kenya, kitendo hicho ni hatari na hakipaswi kushabikiwa hata kidogo, hasa kikifanywa na msomi kama Ngugi, huo ni ukabila na sio vinginevyo.
Punguza mapepe wewe, tazama hii video na uwasikize hao hao wazungu wako wakimsifia Ngugi kwa kuandika akitumia lugha yake asili ya kiafrika.
 
Ahaaa haaa haaa
Acha kukurupuka. Fuatilia mjadala kabla ya kuandika. Wapi nimemchukia mKenya ambaye ni mpigania USAWA na haki.
Nimesema nilichukia SANA nyang'au waliobaka mke wa Ngugi. Au nawe ni mmoja wapo??? MAPARACHICHI weee.
"Bangi ya wakenya ni mbaya. Tangu siku hiyo nilivyosikia hiyo issue, nilichukia kila nyang'au." acha nikunukuu.
Ulisema ulichukia "kila" nyang'au
Basi sahihisha
 
hao wengine ni maarufu tu. Labda Maathai.
Je wajua kwamba Tom Mboya ndiye aliyeanzisha scholarship programme ambayo iliwapeleka Wangare Maathai na Obama sr Marekani kusoma?
 
NDIYO nakusikia.
Alitumia PESA ya jamhuri?
 
NDIYO nakusikia.
Alitumia PESA ya jamhuri?
La, J.F Kennedy ambaye alikuwa senator wakati huo alikuwa rafiki yake wa karibu na alitoa pesa ya hio scholarship, wazungu wengine pia walichangia. Mboya alijulikana dunia nzima kwa sababu ya kutetea haki za wafanyakazi hata kabla KE kupata uhuru.
 
Na Murogi wa Kagoogo
2010133000444.jpg
Wizard of the Crow.
 
Back
Top Bottom