Author Ngugi wa Thiong’o wins major German peace prize

Author Ngugi wa Thiong’o wins major German peace prize

.....and my favourite Ngugi Wa Thiong'o book.
content
Matigari. I must have read this book more than a dozen times, I still retain a copy of the original paperback issue. I would recommend this book to anybody who hasn't read it. Mjuaji joto la jiwe upo? Lugha asili zinaheshimiwa na wanaojitambua kama Ngugi na mimi. 🙂 Sio viroboto kama nyinyi ambao hawaoni aibu kuishi kama yule mnyama ambao waigbo wa Nigeria huwa wanamuita akata(paka shume).
 
Punguza mapepe wewe, tazama hii video na uwasikize hao hao wazungu wako wakimsifia Ngugi kwa kuandika akitumia lugha yake asili ya kiafrika.
Nani kakuambia tunawathamini na kuwaendekeza wazungu?, ninyi wakenya ndio ambao mnawaogopa hadi mnashindwa kuimarisha Kiswahili ambacho ndio lugha ya Taifa lenu badala yake mnaendekeza kiingereza.

Kwasababu wazungu wamemsifia basi kwako hiyo ni credit sana, sio?. Sikilizeni ninyi wakenya, lazima muige nyayo za Tanzania kama kweli mnataka kuondokana na ukabila, njia moja wapo ni kukata lugha zenu za asili katika maeneo ambayo kuna makabila mchanganyiko, vyombo vyote vya habari lazima vitumie lugha rasmi za Taifa,, kinyume na hapo ukabila utazidi kuwatafuna.
 
Nikiongea Kisukuma naitwa mkabila, nikiongea kiingereza naitwa beberu au nimeoleka kwa wabeberu/Wazungu, nikiongea sheng' naitwa mshamba, nikiongea Kiswahili sanifu naambiwa asili yake ni Tanzania hivyo basi sifai kujivunia kukijua...yani Nyinyi Watanzania mnaokesha hapa Kenyan News and Politics kwani mnataka aje???
 
Umechanganyikiwa, unatukashifu kwa kutumia kiingereza na pia unatukashifu kwa kutumia lugha zetu za asili. Unatakaje sasa, kwani uswahili ni asili yetu au yako wewe msukuma? Mbona waganda hawana hamu na lugha ya mtu mwingine? Mabwana zenu RSA nao? Hawaenzi lugha zao za kiasili?
 
Ninyi lugha yenu ya Taifa ni Kiswahili, na wakenya wengi wanafahamu Kiswahili kuliko Kiingereza, vipi rais wenu na viongozi wenu watumie Kiingereza wakati wakenya wengi hawakifahamu wanafahamu Kiswahili?, acheni ujinga na uwendawazimu huo.
 
Hahaha! 😀 Hatufanani jombaa, wakenya wana uwezo wa kujua na kuongea lugha zaidi ya moja. Lugha za asili kwanza, alafu za kigeni kama kiswahili na kiingereza na kwenye shule zote Kenya wataanza kufunza kijerumani, kichina, na kifaransa. Nyinyi sielewi kwanini mnatumia kiingereza kwenye shule za upili wakati ni wazi kwamba akili zenu zina gia moja tu. Komalieni kwenye kiswahili, kinawafaa sana. Hiyo ndio lugha rasmi ya hadithi nyingiii, longolongo na uvivu.
 
Hahaha! 😀 Hatufanani jombaa, wakenya wana uwezo wa kujua na kuongea lugha zaidi ya moja. Lugha za asili kwanza, za kigeni kama kiswahili na kiingereza na kwenye shule zote Kenya wataanza kufunza kijerumani, kichina, na kifaransa. Nyinyi sielewi kwanini mnatumia kiingereza kwenye shule za upili wakati ni wazi kwamba akili zenu zina gia moja tu. Komalieni kwenye uswahili, hiyo ndio lugha ya hadithi nyingiii, longolongo na uvivu.
Jinga sana wewe, lugha yenu ya taifa unaita ni lugha ya Kigeni. Ama kweli "Not yet Uhuru Kenya", hivi zile jamii za wasamburu na Turkana mnawasiliana nao kwa lugha gani ili waelewe rais wao anazungumza nini wakati akihutubia taifa?. Kwa taarifa yako, lugha ya taifa haipaswi hadi mtu aende shule ndio akajifunze, ni lazima mtu akizaliwa aikute inazungumzwa NYUMBANI na mitaani, kama lugha za makabila yenu.
 
Kwani ni siri? Mababu zetu hawakuongea kiswahili, kiingereza na kiswahili zote ni za kigeni. Lugha ya taifa sio lazima iwe lugha ya kiasili kama kibaganda na kinyarwanda kwa majirani. Ila nimependa ulivosema kwamba sio lazima uende shuleni ili uweze kuongea kiswahili. Ndio kasumba yenu nyinyi wabongo, kukosa elimu. Masomo yenu huwa yanaishia shule ya msingi maanake shule ya upili mnatumia kiingereza. .....na kiingereza hakipandi, kwahivyo 1+1=2.
 
Kwani ni siri? Mababu zetu hawakuongea kiswahili, kiingereza na kiswahili zote ni za kigeni. Lugha ya taifa sio lazima iwe lugha ya kiasili kama kibaganda na kinyarwanda kwa majirani. Ila nimependa ulivosema kwamba sio lazima uende shuleni ili uweze kuongea kiswahili. Ndio kasumba yenu nyinyi wabongo, kukosa elimu. Masomo yenu huwa yanaishia shule ya msingi maanake shule ya upili wanafunza kwa kiingereza. .....na kiingereza hakipandi kwahivyo 1+1=2.
Kwahiyo wewe Kikuyu ulijifunza shuleni sio?, chagueni basi lugha yenu moja ya asili ndio iwe lugha ya taifa lenu kama vile Ethiopia wanavyotumia Amaharic kuliko kukumbatia kiingereza ambacho zaidi ya 60% ya wakenya hawakijui. Ninyi ni watu mwa wa wazungu, hao wasomi wenu mnaowasifia "Ngugi na wengine wote wamezunfumzia kuhusu wazungu kuendelea kuifaidi Kenya kuliko wakenya wenyewe, sasa ninyi endeleeni kukumbatia lugha za makabila yenu ili muendelee kubaguana na kuchinjana kila kipindi cha uchaguzi
 
Umeishiwa na hoja kabisa. Nimekuuliza kama lugha ya taifa lazima iwe ni lugha moja tu?
 
Lengo la mwandishi wa vitabu au habari ni kutaja kufikisha ujumbe au ni kutaka yeye ajulikane?. Sasa akitumia lugha ya ukabila sisi ambao hamuwezi kusoma na kuelewa lugha ya Kikuyu tutamjuaje?.
Ukitaka kufikisha ujumbe kwa watu wengi, ni lazima utue lugha inayofahamika kwa watu unaotaka kuwafikisha ujumbe wako, tena utumie lugha rahisi. Ngugi amefahamika kupitia vitabu vilivyoandikwa kwa Kiingereza sio Kikuyu.
Leo ndio Mara ya kwanza ninasikia kutoka kwako kwamba ameandika vitabu kwa Kikuyu, wakati nimemsikia zaidi ya miaka ishirini iliyopita, isingekua sio hivi vitabu vyake vya kiingereza, hasingejulikana popote pale zaidi ya "Kikuyu Nation", punguza ukabila, ukabila haujawasaidia lolote wakenya zaidi ya kuwagawanya.
Wewe ni caitani mùtharabainí
 
Nikiongea Kisukuma naitwa mkabila, nikiongea kiingereza naitwa beberu au nimeoleka kwa wabeberu/Wazungu, nikiongea sheng' naitwa mshamba, nikiongea Kiswahili sanifu naambiwa asili yake ni Tanzania hivyo basi sifai kujivunia kukijua...yani Nyinyi Watanzania mnaokesha hapa Kenyan News and Politics kwani mnataka aje???
Haha..nawashangaa sana hawa. Itabidi wakenya watupe vinywa vyao bahari Hindi ndio wasiongee kwa sababu hawana lugha yoyote.
joto la jiwe
 
Ngugi Wa Thiong'o huwa anaandika vitabu vyake vyote kwa lugha yake asili ya kikikuyu. Kisha vinatafsiriwa kwa lugha zingine, kiingereza, kijerumani, kifaransa, spanish, n.k. Nilisoma vitabu vyake vya 'Matigari ma Njiruungi'(Remains of the Bullets) na play yake 'Ngahika Ndeenda'(I Will Marry When I Want) kwa lugha ya Kikuyu na vilinoga zaidi ya vile vya tafsiri. Mwafrika ambaye hajielewi ndio huwa haoni umuhimu wa lugha zetu za asili.
How about 'The River Between' and 'weep not child' si aliviandika kwa kiingereza?
 
Back
Top Bottom