Yaan zimeamua zenyewe au kuna kitu walikua wanatumia?kakak zangu2 figo zishafeli
Yah gluten ni hatari sana kwa mwili... Ni kitu ambacho ma practitioners wanatahadharisha sana watu.Acha kula aina zote za wanga hasa ngano, nina hii hali ila mm inakuwa triggled na vyakula vyote vya ngano, but mimi huwa napata fatique nusu saa baada ya kutumia ngano so nliacha kuvila nipo sawa tu
Wamenishauri niendelee na immunoglobulin therapy + nizingatie diet, mazoezi pamoja na kupunguza stressMtu anaweza ishi na ugonjwa flan kwa mda mrefu kama tu haufanyi ukamdumaza. Doctors walikushauri nini?
Kivip mkuu?Dawa yake update kaugonjwa hata malaria
Basi jitahidi kufanya ulivyoambiwa yanapita ndugu haya maisha uyafurahie uwezavyo. .Wamenishauri niendelee na immunoglobulin therapy + nizingatie diet, mazoezi pamoja na kupunguza stress
Najitahidi sana kuzingatia anti inflammatory diet but sometimes nashindwa najisahau naanza kula carbs.Tumia zaidi protini maharage, soya, samaki,
Achana na read meat replace na samaki ama mbogamboga, ukiwa na ham ya nyama ule kuku ila ondoa ngozi. Mm sikwenda hospital ila dadangu ninayemfuata naye anaumwa kakak zangu2 figo zishafeli, so najitibu kwa experience ya wengine
Hata mm ilichukua muda mpaka kugundua nna huo ugonjwa. Nilikaa hospital kama miezi miwili hivi ndio baadae wakagundua hili tatizoNi ugonjwa mbaya sana sababu mwili unakosa nguvu, akili inachanganyikiwa, mwili wote unauma yaan mm huwa nalala tu. Nlienda masomoni india nikiwa sijui naumwa nn. Ilibidi nipelekwe apollo hosptal cha kushangaza naambiwa siumwi kitu
Noma sana kaka! Huu mwili ukizingua unaweza kutamani uutupe then uchukue mwili mwingine.Dunia ina magonjwa mengine ukiyasikia unabaki tu mdomo wazi, ila pole Mungu akufanyie wepesi upate nafuu upone
Gluten ndio nin tutoeni tongo tongoYah gluten ni hatari sana kwa mwili... Ni kitu ambacho ma practitioners wanatahadharisha sana watu.
Ina triger matatizo mengi sana
Umewahi tumia vitamin b complex au neuroton? Kama bado take itHabari za hapa. Mwaka jana nilipata tatizo la Autoimmune disease ambapo kinga za mwili zina over react na kushambulia mishipa midogo ya fahamu(nerves).
Kitaalam unaitwa Chronic inflammatory demyelinating polyneuropathy (CIDP).
Wakuu hii hali imenitesa sana almost mwaka mmoja sasa nashindwa kufanya shughuli za kawaida kwa sababu mikono na miguu haifanyi kazi vizuri kama hapo mwanzo.
Nilienda hospital kwa mtaalam wa magonjwa ya mishipa(neurology) akanianzishia dozi ya immunoglobulin mara moja kwa mwezi. Hii therapy imenisaida kidogo kunipa nafuu ila bado ile hali hali inanirudia sometimes.
Wakubwa naomba msaada wenu maana hali ni tete, huu ugonjwa umesababisha nipoteze kabisa furaha ya maisha.
Napata maumivu karibu kila siku.
Miguu inawaka moto, inakufa ganzi sometimes ngozi inawasha na kuchoma mwili mzima.
Naomba msaada wenu wakuu hali tete
Nilishawahu kutumia vitamin B complex but haikunisaidia. Kuhusu neuroton sijawahi kuitumiaUmewahi tumia vitamin b complex au neuroton? Kama bado take it
Inasaidia eeh?! Itabidi niongeze bidii japo pombe sidhani maana inaongeza sukariChakata mbususu Sana na tungi
Namsikiliza mtaalamu wangu na ndio maana naendelea na matibabu ya immunoglobulin.Yaani unaacha kumsikiliza Neurologist wako anayekutibu unataka uwasikilize watu random wa humu ndani ! Are you serious? Nchi hii kweli ina wajinga wengi sana
Gluten haina shida isipokuwa kwa wachache ambao ni allergic! Acha upotoshaji tena gluten allergic wengi ni wazungu sio sisi watu weusiYah gluten ni hatari sana kwa mwili... Ni kitu ambacho ma practitioners wanatahadharisha sana watu.
Ina triger matatizo mengi sana
Mimi sio daktari ila mapractitioner wengi wanasema ni hatari sana.Gluten haina shida isipokuwa kwa wachache ambao ni allergic! Acha upotoshaji tena gluten allergic wengi ni wazungu sio sisi watu weusi
Kwa akili yako unafikir kuna mganga wa kienyeji au mitishamba anaujua ugonjwa unaitwa chronic inflammatory demyelinating polyneuropathy mpaka ajue dawa ya kuutibu? Au huyo mganga anatibu ugonjwa ambao haujui wala hajawahi hata kuusikia?Namsikiliza mtaalamu wangu na ndio maana naendelea na matibabu ya immunoglobulin.
Lakini pia nimekuja hapa Jukwaani kuomba ushauri, Au kama kuna mtu alishawahi kutibiwa kwa TIBA ya asili akapona kabisa anaweza kuwa msaada.
Pia hata maombezi ya watumishi wa Mungu yanaweza kunisaidia.
Kumbuka hii tiba nnayopata sasa hivi ni kwa ajili ya kumaintain hii hali na sio kwamba inaponyesha