![]()
Satchmo akiwa duka la Mzee Mahmoud hili
lilikuwa duka likiuza records Mtaa wa Acacia
Avenue sasa Samoro Avenue.
..Baba yake Al-Noor Kassum alikuwa na duka kubwa Acacia Avenue/Samora Avenue. Nitakuulizia duka hilo liliitwa nini, huenda ukalikumbuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Satchmo akiwa duka la Mzee Mahmoud hili
lilikuwa duka likiuza records Mtaa wa Acacia
Avenue sasa Samoro Avenue.
JokaKuu,..Baba yake Al-Noor Kassum alikuwa na duka kubwa Acacia Avenue/Samora Avenue. Nitakuulizia duka hilo liliitwa nini, huenda ukalikumbuka.
Kwanza ww umeona qasida ndo zitamuingiza mtu peponi acha mambo yako ww. qasida ni uzushi kwanza, usitake tuzame kwenye dini na wakati tupo hapa kurefresh akili na mambo ya kalesasa hizo nyimbo na filamu zinamchango gani kwa 'allah'?
badala uende ukaimbe kaswida wewe unaenda kutazama makafiri?hicho ndicho ulichokuwa unafundishwa madrasa??
la msingi sana mkuuMmmmh,mambo yenu ya siasa mi simo kabisa. Halafu mambo mengine hutokea by default tu kwa sababu naamini hata kama siyo CCM,bado kwa kuwa watu wapo,mambo yangefanyika tu,ili mradi tunaishi,tungejiwekea utaratibu na bado tungesonga. Mimi kipekee naamini katika Utaifa kuliko hayo mambo yenu ya Siasa.
Mohamed Said wewe ni muugwana sana!Black hapana hiyo nimetoa Google.
ww unaijua dini zaid ya mudi wa saigon?Kwanza ww umeona qasida ndo zitamuingiza mtu peponi acha mambo yako ww. qasida ni uzushi kwanza, usitake tuzame kwenye dini na wakati tupo hapa kurefresh akili na mambo ya kale