Avalon cinema


Satchmo akiwa duka la Mzee Mahmoud hili
lilikuwa duka likiuza records Mtaa wa Acacia
Avenue sasa Samoro Avenue.

..Baba yake Al-Noor Kassum alikuwa na duka kubwa Acacia Avenue/Samora Avenue. Nitakuulizia duka hilo liliitwa nini, huenda ukalikumbuka.
 
..Baba yake Al-Noor Kassum alikuwa na duka kubwa Acacia Avenue/Samora Avenue. Nitakuulizia duka hilo liliitwa nini, huenda ukalikumbuka.
JokaKuu,
Sikuwa na taarifa hizi.
In Sha Allah.
 
Shukrani kwa historia Mzee Mohamed Said.

Allah aendelee kukujalia afya njema na maisha marefu!!
 
Nashukuru kwa dua zenu ndugu zangu wote. Amin kwa sote
 
sasa hizo nyimbo na filamu zinamchango gani kwa 'allah'?
badala uende ukaimbe kaswida wewe unaenda kutazama makafiri?hicho ndicho ulichokuwa unafundishwa madrasa??
Kwanza ww umeona qasida ndo zitamuingiza mtu peponi acha mambo yako ww. qasida ni uzushi kwanza, usitake tuzame kwenye dini na wakati tupo hapa kurefresh akili na mambo ya kale
 
la msingi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…