Avatar na majina yanayoniacha hoi

Avatar na majina yanayoniacha hoi

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
Asee humu jf kuna avatar na majina ya wakuu yanachekesha mno, ebu cheki avatar ya huyu mkuu "ushimen "mwingine anajiita "panyabuku"
Na mwingine yule mkuu wa jukwaa la tech ronaldinho mwenye mdomo mkubwa asee.
Unakuta mtu anachangia mambo mazuri ila ss avatar yke au jina duh!
 

Attachments

  • EC35B27D-51A2-4625-A621-B513B57C33C7.png
    EC35B27D-51A2-4625-A621-B513B57C33C7.png
    166.7 KB · Views: 21
  • 62C90443-67DD-4724-B93F-55CFB71F4F18.png
    62C90443-67DD-4724-B93F-55CFB71F4F18.png
    153.2 KB · Views: 20
  • C5EB8BA6-33C0-4D0D-8866-C3D57F1CF2A3.png
    C5EB8BA6-33C0-4D0D-8866-C3D57F1CF2A3.png
    230.5 KB · Views: 20
Kuna daladala moja hivi karibuni nimeona imeandikwa "Mbao za Mawe" nilijisikia faraja maana jina dume hilo.
 
Back
Top Bottom