Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Asee humu jf kuna avatar na majina ya wakuu yanachekesha mno, ebu cheki avatar ya huyu mkuu "ushimen "mwingine anajiita "panyabuku"
Na mwingine yule mkuu wa jukwaa la tech ronaldinho mwenye mdomo mkubwa asee.
Unakuta mtu anachangia mambo mazuri ila ss avatar yke au jina duh!
Na mwingine yule mkuu wa jukwaa la tech ronaldinho mwenye mdomo mkubwa asee.
Unakuta mtu anachangia mambo mazuri ila ss avatar yke au jina duh!