Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abeeeeeeee
Harruci ya mane sio ya nchi hii. Ukiachana na the whole white theme, aisee zile diamonds sio za nchi hii, kwa kifupi kila kitu sio cha nchi hiiWana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).
Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu poa. Akanitext tena mzima,nikajibu mzima. Unaishi wapi,mie nikajibu Tanzania. Akasema nimeona uzi wako wa lyrics unapenda sana mziki nikamwambia ndio napenda sana.Basi siku ikapita.
Nikasema ngoja nicheki profile ake,haja specify male or female. Nikacheck avatar kuna picha ya murembo basi nikajisema kuwa mdada huyu.
Siku nyingine akanitext tena,tukachat kidogo lakini ishu ya entertainment aka declare anampenda diddy huyu sean.
Sasa mi nikamwambia shoga angu unajua diddy juzi kafunguka kuhusu accusation ya Nelly kubaka?hakunijibu. Nami nikapotezea. Siku nyingine kimbelembele kikanijaa nikamtumia picha diddy yuko kwenye mane event,hii harudi ya gucci mane na keyshia kaoir nayo hakujibu na akamute ghafla. Basi na mimi nikampotezea.
Leo eti analalamika kwanini namuita shoga angu!!! Nikamwambia hiyo kawaida wadada kuitana hivo. Kwanini asibichambe,eti ye sio mdada yeye man. Nikamuuliza mbona avatar ya kike kanijibu haikuhusu. Chaaaaa!!!!
Nyie wakaka,basi muwe mnaweka avatar hata za magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana tunajua wadada wapenda magari magari kina maserati na ferrari tuko wachache sana.
I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.
Siku njema wakuu.
Nshampa pole jamani!!! Lakinii awe makini... Kuna kina Jackline ambao ni Jackson piaMpe pole rafiki yako aisee
Mambo ya mara paaaap!
ShikamooWengine wanatafuta kunyonya ashikirimu hao.
SijaMboo kabisaMara saba.
HujaM.boo?
Basi ntakuja nikutie, machoni.SijaMboo kabisa
Basi nakusubiri kwa hamu tutiane kama vile Magu anavosubiri kulipwa na Barric,Basi ntakuja nikutie, machoni.
We mchochezi sasa,huo moto wake ukianza utaweza kuupepea?Basi nakusubiri kwa hamu tutiane kama vile Magu anavosubiri kulipwa na Barric,
Hahaahahhh umewaza mbaliJamaa angetulia kidogo tu angepata picha yako