Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo tena, sasa vingine mana yakenini hilo jambo?Teh teh kunyonya ashikirimu
Tusaidie id maana wengine avatar ndio tunaangalia.We subiri shift yetu ianze..au kuna la ziada?
Sikuizi ban hakuna....[emoji13] [emoji13]Nipigwe ban???au aniongezee kichambo?
Al-Watan unanifurahishaga sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja wakuje wanyonya ashikirimuNdiyo hivyo tena, sasa vingine mana yakenini hilo jambo?
Me huwa nawaza mbali sana nikiona me kaweka avatar ya ke nahisi kama anatuonea wivu sisi kuwa ke yaan nawaza vingi jamanNimeshangaa kwakweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] majina yenyewe utata yet mtu analeta utata zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi kukufurahisha, kwetu ma walii hiyo suna nayo.
Mi namfananisha na mwingine hivi...ila naemfananisha nae hawaelewani kabisaNina wasiwasi id yake ya zamani ni Ray waniache
Kweli ujue ananifanya niwaze vitu vigumu tu kuhusu kuweka avatar ya ke we rijali unawekaje avatar ya ke mambo yenyewe jf vururu vururu hayaeleweki id fake avatar fake unakuja kuweka na avatar ya ke kama sio kutuonea wivu ninii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie da nimecheka hatari
Wala hata. Alikuwa akikausha na mimi nakausha..
Na yeye ameeka avatar ya kike[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini jomoni??
Kumbe una moyo mtupu kama debe eehhh...... ukiguswa tu unalia....[emoji12] [emoji12] [emoji12]We still naipenda jf na ID ya maserati yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]