Avatar ya kike kumbe mwanaume

Avatar ya kike kumbe mwanaume

Woyooo
Nipeleke hebu, halafu uvae zile miwani ili nijue nimetekwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] au nikuache hapa hapa bongo nikugawe kwa mo dewji au manji au mengi
 
Mo kazeeka, Manji kafilisiwa na Mengi katulia na Jackie... We nipeleke kwa Dangote og bhana
 
Woiiii ujue nilivyoona comrade tu ngashtuka ndio nini hivi tena kumbe mlikuwa mnatuchabo tuu id ya zamani veep
Hahaha
Alifumaniwa Sijui... Mwenyewe Ngastukaaa zamani kidogo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hujui yaliyomsibu mpaka id ya zamani kutelekezwa ebu muulize
 
Haha [emoji23]
Sijui hata... Ngastukaaa mara paaap huyu hapa!!!
 
Back
Top Bottom