Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maserati maana ni hiyo hiyoSio masereti banaaaa
Levante....OMGSio masereti banaaaa
Mama chacha nipe ID ya huyo mkasi nimtongoze[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).
Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu poa. Akanitext tena mzima,nikajibu mzima. Unaishi wapi,mie nikajibu Tanzania. Akasema nimeona uzi wako wa lyrics unapenda sana mziki nikamwambia ndio napenda sana.Basi siku ikapita.
Nikasema ngoja nicheki profile ake,haja specify male or female. Nikacheck avatar kuna picha ya murembo basi nikajisema kuwa mdada huyu.
Siku nyingine akanitext tena,tukachat kidogo lakini ishu ya entertainment aka declare anampenda diddy huyu sean.
Sasa mi nikamwambia shoga angu unajua diddy juzi kafunguka kuhusu accusation ya Nelly kubaka?hakunijibu. Nami nikapotezea. Siku nyingine kimbelembele kikanijaa nikamtumia picha diddy yuko kwenye mane event,hii harusi ya gucci mane na keyshia kaoir nayo hakujibu na akamute ghafla. Basi na mimi nikampotezea.
Leo eti analalamika kwanini namuita shoga angu!!! Nikamwambia hiyo kawaida wadada kuitana hivo. Kwanini asibichambe,eti ye sio mdada yeye man. Nikamuuliza mbona avatar ya kike kanijibu haikuhusu. Chaaaaa!!!!
Nyie wakaka,basi muwe mnaweka avatar hata za magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana tunajua wadada wapenda magari magari kina maserati na ferrari tuko wachache sana.
I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.
Siku njema wakuu.
Kwahiyo mama chacha ukimiliki hilo gari mi utanitosa?Inshallah,amin.
Au Mastretta[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]Baba chacha. Ukinunua Hiyo rover ako mie ushanisahau kabisa,mie hapa ni maserati tyyyyuuuuuuu
Na number ya simuJamaa angetulia kidogo tu angepata picha yako
Maserati na Mastretta yote ni magari kutoka ItalyLoooh...baba chacha
Ileeeee iliyoninunishaga umeisahau love ??Niambie kesi gani? Nijihukumu mwenyewe...