Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.
Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf ambao nilivutia nao hasa kwenye michango yao kwenye thread mbalimbali.
Kinachonikuta huko ni siri yangu, mana wengi wananiponda na kunambia nina akili kama avatar yangu.
Kiukweli hiyo avatar/profile picture yangu haina uhusiano kabisa na akili wala sura yangu!!
Warembo!! Mimi ni handsome boy sana, nikiwafuata pm msidhani mmefuatwa na nguruwe.. Na wala sina mpango wa kuibalisha...tuvumiliane.
Si mimi mkuumkuu, kumbe ndo weweeee..!, kuna warembo jinsia ya kike walileta Uzi wa kulalamika kufwata PM na kutongozwa na ME, na kila MTU akawa anamtupia mpira mwenzake, kwa hiyo umeleta mrejeshoo, sasa subiri wake wathibitishee kama we ni mmoja wapo, na hiyo avatar yakoo, lazima ulikataliwa tuuuu
Hawajakosea!Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.
Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf ambao nilivutia nao hasa kwenye michango yao kwenye thread mbalimbali.
Kinachonikuta huko ni siri yangu, mana wengi wananiponda na kunambia nina akili kama avatar yangu.
Kiukweli hiyo avatar/profile picture yangu haina uhusiano kabisa na akili wala sura yangu!!
Warembo!! Mimi ni handsome boy sana, nikiwafuata pm msidhani mmefuatwa na nguruwe.. Na wala sina mpango wa kuibalisha...tuvumiliane.
aisee nimecheka sanaLeo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.
Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf ambao nilivutia nao hasa kwenye michango yao kwenye thread mbalimbali.
Kinachonikuta huko ni siri yangu, mana wengi wananiponda na kunambia nina akili kama avatar yangu.
Kiukweli hiyo avatar/profile picture yangu haina uhusiano kabisa na akili wala sura yangu!!
Warembo!! Mimi ni handsome boy sana, nikiwafuata pm msidhani mmefuatwa na nguruwe.. Na wala sina mpango wa kuibalisha...tuvumiliane.
Yaani nikiiona hata nanihii sipati.Tunapata tabu na kuhukumiwa kutokana na avatar zetu
kumbe hadi wwYaani nikiiona hata nanihii sipati.
Let it happen automatically, hawa viumbe ni kama upepo tu kuna kipindi wanakuandama mpaka unasema basi na kuna kipindi wanapotea.Hapana, si mwanamuziki.
Ndio.kumbe hadi ww
nilikua na mpango wa kuchukua namba za whatsapp naona kama hapana zitakua nyingiNdio.
Haya.nilikua na mpango wa kuchukua namba za whatsapp naona kama hapana zitakua nyingi
haya nije auHaya.
Au.haya nije au