Avatar yangu imenikosesha warembo wa Jf niliowafuata pm

Avatar yangu imenikosesha warembo wa Jf niliowafuata pm

Sidhani km hyo avatar ni tatizo.
Warembo wa jf wanajielewa siyo rahis kumkubali mtu usiyemjua eti kisa mmekutana jf ,na siyo wewe tu wengi nina imani wamekataliwa.

Happy birthday to u brother...
 
Umekosea kuweka picha nguruwe, ungeweka kitimoto na bia ungewapata wengi sana,
unajua madem wengi wa dar hawajui kitimoto ni nyama ya mnyama gani?
Hata yule wangu hajawahi kutofautisha hizi mambo aiseeee....[emoji23]
 
Leo nime gundua kwanini hua nakataliwa na wadada aiseeee [emoji12] [emoji12]
Badilisha mara moja. Halafu wafate PM uone itakuaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
labda hunipendi ndio maana unanitenga

Sasa kwahiyo avatar picha ninayokuvutia ni balaa tupu! Ukijumlisha na unavyomchukia kipenzi changu ndio kabisaaaa!! Naanzaje kukupenda.
 
Sasa kwahiyo avatar picha ninayokuvutia ni balaa tupu! Ukijumlisha na unavyomchukia kipenzi changu ndio kabisaaaa!! Naanzaje kukupenda.
Kwa hiyo nichague moja ?
 
Back
Top Bottom