Avatar yangu imenikosesha warembo wa Jf niliowafuata pm


Wewe umejuaje kama wao ni warembo kwa maana ile ya mashindano ya Miss Tanzania?
 
Si mimi mkuu
 
Hawajakosea!
we mtu gani unayevutiwa na mrembo just kwa comments zake za JF.
kwanza unajuaje kuwa unayechat naye side B ni mwanamke?
hata wewe mwenyewe haijulikani kama ni ke au me!
nawapongeza wote waliokulinganisha na Avatar yako!
 
Umekosea kuweka picha nguruwe, ungeweka kitimoto na bia ungewapata wengi sana,
unajua madem wengi wa dar hawajui kitimoto ni nyama ya mnyama gani?
 
aisee nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…